Kolabo bora katika Bongofleva

Kolabo bora katika Bongofleva

Ferooz ft Sir Nature na Solo Thang -Boss,

Ngweair ft Mchizi Mox, Rah P, Mkoloni, Ferooz na Pfunk - Mikasi,

Afande Sele ft Prof. Jay na Solo Thang-Mtazamo,

Dully Sykes ft Mr.Blue na Joslin - Dhahabu,

Lady JayDee ft Mr. Blue, Dully Sykes, Mad Ice... -Usikatae.

Juma Nature ft Inspector Haroon - Mzee wa Busara.
 
Mzee usiongee as if unawafahamu watu humu jamvini me sikujui na wewe unijui mind your business
Jamaniii Inno amekasirika, hahaha lakini umekumbushwa usije ukasema hukuambiwa.

Boost your Immune System to fight a Covid-19.
 
Sister Sister-GK feat Pauline Zongo

Nipe nikupe-AY feat Prezzo

Kama unataka demu-Jay mo feat Q chilla

Mi na mabinti-FA feat (nmemsahau)

Hii leo- GK feat ECT

Ingekuwa vipi-FA feat Jay Mo

Joanita-Pingu&Deso feat Blue

Safi hiyo-Ay feat FA & Ray C

Kimya kimya-Ngwair feat Jay Mo

Nimekubali-Top band feat Blue

Ndiyo mzee-Prof Jay feat Sir Nature

Niaje - Domo &Ndojo feat Sir Nature

Wanok nok - Domo & Ndojo feat Jide

Subala kheri - Aslay feat Nandy

Tunaishi - Darassa feat Ney

Mziki-Darassa feat Ben Paul

Kama utanipenda - Darassa feat Mavoco

Kokoro - Mavoco feat Mondi

Alikufa kwa ngoma - FA feat Jide
 
  • Thanks
Reactions: ABJ
Ngoja nitaje nazozikumbuka

AY & FA &Ray C& Banana - safi hiyo

Ferooz ft Prof - Starehe

Noorah ft. Suma lee- Ice cream

Cpwaa ft ms trinity, Dully , Ngwair - Action

Juliana ft. Bushoke - usiende mbali

Afande ft prof , solo thang - Mtazamo

Darassa ft Ben pol - Muziki ..kwa hii Era

Duuhhh naona zipo nyingi na ngumu kuchagua the best ase
 
Jamaniii Inno amekasirika, hahaha lakini umekumbushwa usije ukasema hukuambiwa.

Boost your Immune System to fight a Covid-19.
Jikite kwenye mada alafu uache shobo mbona sijawahi kukuingilia mambo yako kwanza umjui mtu anafanya Nini au comment zinakuumiza Sana kiasi ambacho unashindwa kujizuia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom