Kuhusu Mbwiga wa Clouds FM

Kuhusu Mbwiga wa Clouds FM

Mtowi

Member
Joined
Nov 13, 2018
Posts
5
Reaction score
7
Hivi huyu jama ni Mwanahabari kitaluma au ni mshereheshaji tu katika sport extral
 
dogo Mtowi vp? kwan kuna mtu anakukimbiza?

tulia kwanza uandike vitu vyenye lugha inayoeleweka na kwa mpangilio mzuri
 
Huyo jamaa alikuwa anafanya SHUGHULI za fundi masofa na fundi carpenter magomeni,, mdomo wake ndy ELIMU YAKE....hana taaluma yeyote ya mambo ya utangazaji,,amshukuru mdau mmoja wa hapo clouds ndy aliyemuona huko mitaani na kumpeleka clouds,, alikuwa akiishi na kufanya SHUGHULI zake ufundi magomeni ,,,kabla ya kuwa clouds...hadi Leo kuna kesi za wateja kudai vitu vyao ambavyo hajavimaliza..
Hivi huyu jama ni mwanahabar kitaluma au ni mshereheshaji tu katika sport extral

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh kuna jamaaa pale tabata mangumi karibu na sanenen ni fundi masofa anafanana kuongea kama mbwiga. Mtu wa morogoro
Huyo jamaa alikuwa anafanya SHUGHULI za fundi masofa na fundi carpenter magomeni,, mdomo wake ndy ELIMU YAKE....hana taaluma yeyote ya mambo ya utangazaji,,amshukuru mdau mmoja wa hapo clouds ndy aliyemuona huko mitaani na kumpeleka clouds,, alikuwa akiishi na kufanya SHUGHULI zake ufundi magomeni ,,,kabla ya kuwa clouds...hadi Leo kuna kesi za wateja kudai vitu vyao ambavyo hajavimaliza..

Sent using Jamii Forums mobile app

komesha korona
 
Clouds ni asilimia kumi tu ya watangazaji wote ambao wamesomea ile taaluma
The rest ni talent tu
 
Back
Top Bottom