Hii ni tamthiliya ya kitanzania ikiwa na masuparstars kibao wa bongo movie inayooneshwa na DStv katika channel ya Maisha bongo ki ukweli ni nzur Sana kwenye hili na wasifia bongo movie na inawatazamaji wengi pamoja na kuwa nzuri ila inachangamoto zake mfano Kuna mchawi jina simkumbuki vizuri lakini ni mtoto wa Bibi sikitu ni meshangaa pamoja na kuwa mchawi eti naye anateswa na mapenzi na binadamu wakawaida analia lakini pia Mali zake zinachuliwa na yeye hajui anachuliwa bwana wake na mwanamke aliyetumwa na mtu ili haaribu mahusiano yake bila yeye kujua na nazaidi eti huyo jini anafukuzwa kazi na binadamu wa kawaida anabaki akiwa Hana fedha.
Sasa najiuliza kazi ya director ni ipi hapo kuruhusu mambo Kama hayo kwenye tamthiliya inamaana hawafanyi preview?before yakua achia tamthiliya hewani.
Kingine ambacho nimeshangaa Kuna mdada yupo na inadaiwa ni muuaji anaamua kupiga simu polisi kutoa report kwamba yupo na muuaji na ametaja yupo nyumba number Fulani pekee bila kutoa taarifa za ndani Kama yupo sehemu fulani,mtaa gani? Hii nimeona kwenye tamthiliya ya Rebeca ya bongomovie nayo ipo hapo hapo DStv.