Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,368
Konde boy amepost twitter kwamba album ya pili ipo njiani mwaka huu.
Ina maana album 2 ndani ya mwaka mmoja,nadhani hakuna aliyeweka rekodi hiyo bongo.
Mtazamo wangu naona angepush kwanza nyimbo zake za album iliyopita maana ni kama haijasumbua sana