Xavi Hernandez Alcantara
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 278
- 287
Kendrick Lamar anafaa kuwa mmoja kati ya Marapa bora America na Duniani kote?
ukiwa na maana?Kati ya hizo hutakosa majibu.View attachment 1342444View attachment 1342445View attachment 1342446View attachment 1342447View attachment 1342448
Sent using Jamii Forums mobile app
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa TLP hapa MafiaDuu kweli nishaanza kuzeeka,huyo jamaa ni nani?..
Ok asante sana Mwamba...Katibu wa Itikadi na Uenezi wa TLP hapa Mafia
mwenye kiti wa UVCCM....pale LUMUMBADuu kweli nishaanza kuzeeka,huyo jamaa ni nani?..
Ndio anafaa kuwa mmoja kati ya marapa bora dunianiKendrick Lamar anafaa kuwa mmoja kati ya Marapa bora America na Duniani kote?
Karibu mh diwaniOk asante sana Mwamba...
KwenyeHatakuja kuimba wimbo mzuri kama All the stars..
Ana flow flani tamu sana huyu broh
Akiwa na Drake Asap Rock piaKwenye
fuckin problem ulimsikia ?
ukiwa na maana?
Na 2 chainzAkiwa na Drake Asap Rock pia
Yah alitembea Drake zamani alikuwa anakaza kumbe saivi soft hiphopNa 2 chainz