Gustavo Gaviria
JF-Expert Member
- Nov 19, 2018
- 633
- 1,119
Huyu Tommy flavour, ana uwezo mkubwa sana kimuziki, kwa maoni yangu sioni kama ni movement sahihi kuwa chini ya ali kiba, itakuwa ngumu sana kupanda chati na kukuza muziki wake
Naona alipaswa awe msanii wa kujitegemea na management yake, na mbinu zake za kimuziki
Tommy Flavour ft Alikiba-Omukwano
Tommy flavour- She got a gwan(Ngwair Tribute)
Naona alipaswa awe msanii wa kujitegemea na management yake, na mbinu zake za kimuziki
Tommy Flavour ft Alikiba-Omukwano
Tommy flavour- She got a gwan(Ngwair Tribute)