Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 1,692
- 5,453
Ibraa kutoka konde music world wide
Au!
Mboso kutoka wasafi baby
👇👇
Au!
Mboso kutoka wasafi baby
👇👇
Heshima gani?Mpe mbosso heshima yake
katangulia kwenye industry uwez kumlinganisha na msanii mwenye nyimbo 2 hata kama nyimbo hizo mbili zimekamata chat ya kwanza billboardHeshima gani?
Kwani kutangulia ndio nini?katangulia kwenye industry uwez kumlinganisha na msanii mwenye nyimbo 2 hata kama nyimbo hizo mbili zimekamata chat ya kwanza billboard
Huyo mwingine hapaswi kupewa heshima?Mweshimu mboso mkuu
Mtoto sana huyo ngoja amalize kunyonyaHuyo mwingine hapaswi kupewa heshima?
Sasa mboso ana ukubwa gani?😀😀😀Mtoto sana huyo ngoja amalize kunyonya
Bora hata mboso amekaa kidogoSasa mboso ana ukubwa gani?
Kivipi mkuu kwani yeye ni nani hasa kupita huyo mwingine?Acha utani mkuu, mbosso,huwez mfananisha na huyo hata kidogo, ingekuwa mtayarishaj wa vipind ushafel, mbosso ana heshima yake kwenye game
😀😀😀Bora hata mboso amekaa kidogo
Kwenye huu mzik anajua wapi pa kuacha
Wapi pa kwenda
VyoteKuandika au kuimba?
VyoteKuandika au kuimba?
hakunaVyote
Ibraa subiri heshima utaipata tuKwani kutangulia ndio nini?