Kwa huyu jamaa Fid Q na Joh Makini wakajipange sana

CARIFONIA

JF-Expert Member
Aug 17, 2013
518
901
Dah! Kuna watu wanajua mpaka noma nimeskiliza ngoma ya huyu jamaa. Nadriki kusema jamaa anakuja kutake over game ya Hip Hop bongo nisiwachoshe Sana sikilizeni wenyewe ili dude
 

Attachments

  • 2nga (1) (1).mp3
    3.2 MB · Views: 4
We kweli kiande yani ngoma moja umeisikiliza unakuja huku jf na mihemko yako ...et fidq na joh hawamuwezi hebu kuwa serious na mihemko yako

One love
Hautaji ngoma kumi kujua jamaa ni mkali
 
Back
Top Bottom