Johny Drille yupo Underrated sana tofauti na ukali wake wa kuimba

SISIS

JF-Expert Member
Jan 14, 2019
10,671
2,028
Kuna watu wanasema sijui ni gundu aukila shetani ana Mbuyu wake yani kama hapa tz watu wanavyoamini alikiba ana kipaji lakini Diamond anampita kwa kila kitu

Basi ndio huko Nigeria napo kuna kijana anaitwa Johnny Drille, ni moto wa kuotea mbali, kwenye kuimba hana mpinzani kuanzia nyimbo hadi melody jamaa anatisha yani ni kama Simi vile ule ukali wake, lakini cha kushangaza jamaa ana kazi nzuri sana ila watu hawazifuatilii sana


 
SISIS Yupo vizuri Sana kiufupi ana talent kubwa na music upo unique tofauti na nyimbo za Nigeria ila nichoona kwanini jamaa anafeli sio kwa sababu ana gundu Bali mziki wake hauondeni na soko (Wateja) hapo ndio alipo wrong number
 
Huyu ni balaa sana nimemfuatilia muda mrefu ila naona kina don jazzy hawapi promo ya kutosha pale kwenye lebel yake
 
The guy ana sauti amaizing he can sing kiukweli

Sema naona hata yeye anajiharibia kutoka kuimba nyimbo zake mpaka kuimba covers?! Hayupo serious
 
Anajua sana... hata performance zake nzuri sana,

1st. Johny drille ft simi -hallelujah

2nd: johny drille -wait for me

3rd: johny drille & ric hassan

Hzi ni baazi ya nyimbo ninazo zipenda kutoka kwake
 
Jamaa ana sauti nzuri sana ukitaka kujua kuwa ana kipaji cha hali ya juu sikiliza nyimbo hizi : haleluya feat. Simi, Forever, Awa, Waiting for Efe na nyingine nyingi tu
 
Back
Top Bottom