Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,508
- 14,810
Hii nyimbo imefanya maajabu mengi sana. Siku ilipotoka tuu ilikua trending kwenye nchi mbalimbali, ikaenda hadi kwenye nchi kubwa kama Marekani ilikua namba 40 on trending na Ufaransa pamoja na Oman.
Tangu imewekwa YouTube tarehe 22 mpaka sasa hivi, bado ipo namba moja trending pamoja na kwamba wasanii kibao kutoa nyimbo na video lakini wameshindwa kuishusha kileleni.
Tangu imewekwa YouTube tarehe 22 mpaka sasa hivi, bado ipo namba moja trending pamoja na kwamba wasanii kibao kutoa nyimbo na video lakini wameshindwa kuishusha kileleni.