Wimbo wa Quarantine ni BubbleGum Music From WCB. Imebuma

Robidinyo

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
3,738
7,688
Hii ni Moja kati ya wimbo uliobuma Mapema sana, Mtaani hausikiki, kwenye Media umebaki unapigwa Wasafi pekee, Mabodaboda pia wameupotezea, Everything back to Normal kama vile hakukua na Ngoma mpya iliyotoka, Hata ile Show ya MTV Base Imeshindwa kuibust hii ngoma

Kwanini siku hizi nyimbo toka kwa Diamond hazikai muda mrefu na watu wanazichoka mapema sana?

Kipimo cha mziki wake toka fans eti ni Youtube, hawajui kama Youtube akaunti yake imejaa Maroboti
 
Muziki wa Diamond Platnumz mara nyingi huwaga sio wa kukaa na kuusikiliza mara kwa mara bali ni aina ya mziki ambao unausikiliza pale unapoitaji ladha za kukusisimua na mara nyingine kucheza.
 
Kwamba Wanywa mataputapu ndo uwa wanapenda sana kusikiliza yale matusi wakishalewa?
 
IMG_20200527_220409.jpg
 
Hii ni Moja kati ya wimbo uliobuma Mapema sana, Mtaani hausikiki, kwenye Media umebaki unapigwa Wasafi pekee, Mabodaboda pia wameupotezea, Everything back to Normal kama vile hakukua na Ngoma mpya iliyotoka, Hata ile Show ya MTV Base Imeshindwa kuibust hii ngoma

Kwanini siku hizi nyimbo toka kwa Diamond hazikai muda mrefu na watu wanazichoka mapema sana?

Kipimo cha mziki wake toka fans eti ni Youtube, hawajui kama Youtube Akaunti yake Imejaa Maroboti
Waisibii siku hizi hakuna kitu ,wanaimba MAKOROKORO tu!! Diamond nayemkubali ni Nenda Kamwambie , Mbagala , Nitarejea ,Lala Salama,Kwenye feature ni ile yupo na AKA Make me sing siku hizi % kubwa wanaimba MAKOROKOCHO Samahani lakini Innocent.
 
Umenena ukweli Mkuu, Hakika Unaujua Mziki
 
Back
Top Bottom