Ni jinsi gani msanii anaweza kujisajili BASATA?

CARIFONIA

JF-Expert Member
Aug 17, 2013
518
901
Jamani nilikua naomba kujua ni jinsi gani msanii anaweza kujisajili katika Baraza la Sanaa na Utamaduni (BASATA),ili aweze kutambulika rasimi na kuweza kulinda haki za kazi zake.

Kwa mwenye ufahamu naomba anieleweshe.
 
Back
Top Bottom