Habari wanajambo, mimi ni mpenzi kiasi wa kuangalia movie lakini kutokana na majukumu ya hapa na pale sikuwa na muda wa kuangalia.
Kipindi hiki ni cha kukaa nyumbani kutokana na hali halisi ya...
Kama wewe ni mpenzi wa filamu basi lazima utakuwa umewahi kuangalia filamu zilizotengenezwa na kuwapa wahusika wakuu nafasi ya kucheza kama watu wenye uwezo wa juu wa kufikiri
Leo tuwaangalie...
Wakuu kwemaaa...leo naweletea top 5 ya mawe mazito yenye miendelezo yakibabee
Kuna vyuma hatari sana vilivyopikwa vikapikika na miendelezo yote huwa inasubiriwa kwa hamu sana japo story huwa...
BARAKOA YA MARIOO
Na, Robert Heriel
Hivi ndivyo ilivyokuwa, kama ilivyosemwa na watu wa kale yakuwa shida haina adabu. Ndivyo ilivyotokea kwangu.
Haya sasa tulieni niwasimulie, tena mtege...
1️⃣ "Shape Of You" - Ed Sheeran (2,468 BILLION Streams)
2️⃣ "Rockstar" - Post Malone ft 21 Savage (1,874 BILLION Streams)
3️⃣ "One Dance" - Drake ft Wizkid & Kyla (1,837 BILLION Streams)
4️⃣...
U.S Marine Ray Garrison anapoamua kwenda mapumzikoni baada ya kumaliza mission ya ukombozi jijini Mombasa. Watu wanaohitaji maelezo ya kijasusi kuhusu mission ile wanakatisha vacation yake na...
EATV: hawa jamaa hawajapata mtu wakuziba pengo la Sam Misago. Tbway anaogopa kuuliza baadhi ya maswali. Ubishoo mwingi sana.
CLOUDS: Hawa jamaa wameona isiwe case wakaona wapige c&p kwa TVE...
The first East Africa album trending in Nigeria for two months non stop by @harmonize_tz who recognized as the number one ☝ artist in East Africa right now ,what so special about this album, got...
Kuna Movie nzuri ya kivita alicheza John Rambo inaitwa "First Blood 1 ya mwaka 1982.
Movie hii inaanza Rambo akitembea akitokea mbali na kufika kijiji fulani na kuanza mazungumzo na Mama fulani...
Wasafi media wamekuja na Kampeni ya Kutoa zawadi ya Gari aina ya Altezza Kupitia kipindi cha The Switch
Nilichoona ni Kua Lil Ommy kakosa ushawishi Kwenye kipindi Inaonekana kipindi kina...
Wimbo wa Sikiliza wa Ngwair ft Mwana FA na Lady Jay Dee kwangu mimi unabaki katika rekodi zangu kama wimbo bora wa kushirikiana (kolabo) katika historia ya muziki wa Bongofleva.
Kwako wewe ni...
Wakuuu hawa jamaa wameachia nyimbo yao mpya inaitwa kaka tuchati aisee ni bonge moja la ubunifu wanastahili pongezi gusa link hapo chini ukaicheki
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mkali wa malovedavi kati miaka ya 2006/7 yu wapi make ngoma zake hadi leo hii ukizisikiliza bado ni za moto haswa japo hatumskii wala kumuona mitandaoni.
Je, ndio kusema Tip-top connection...
Hii ni tamthiliya ya kitanzania ikiwa na masuparstars kibao wa bongo movie inayooneshwa na DStv katika channel ya Maisha bongo ki ukweli ni nzur Sana kwenye hili na wasifia bongo movie na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.