TFF na simba wote Miguu juu na mpaka Sasa Naona Yanga Akishinda tar 3

abdulhamis

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
1,386
2,000
Kwanza binadam Tukumbuke kua Mungu Hapend unafk goli walilo Kataa marefa wa Tff na kusababisha Tutoke sare kwenye mchezo wetu ndio ilo ilo Goli lililo Fungwa na kaizer cheaf na kuwafanya simba njia Ibaki waz

Pili kama utakua uliangalia mechi utagundua kabisa kua simba ilizihitaj zile mechi mbili za Yanga na Coast union ila wao na Tff wakaona hazistail na azina umuhim na kujiamulia kua watazicheza siku yoyote

Kwanini nasema yanga tutashinda tar 3 kwanza matokeo ya simba kufungwa nne ni tiba na energy katika wachezaj wetu na ili Hali isiwe mbaya kwa simba lazima ihakikishe kua nex game na kaizer cheaf wanashinda kama ikitokea wakafungwa Tena kwa mpira wa Aina Ile Ile basi Yanga mech tutakua tumemaliza sababu ukiangalia vizur ule ndio mpira wetu

Simba wakitaka wawe 50kwa 50 kwenye mechi ngum na za speed basi hawana budi wawe wansmuweka chama nje sababu chama mechi zile hawez ndiomana simba Kala nne Mohamed hussein alikua hapat usaidiz kutoka kwa chama sababu jamaa alikua anaishia juu

Yanga Tar 3 ni yetu simba akicheza fyonko tunamla jicho
 
Singasinga

JF-Expert Member
Aug 27, 2011
1,851

Kweli
 
desayi

JF-Expert Member
Aug 27, 2017
1,048
2,000
We tunakupiga vitatu vya vumbi la mkongo utopolo aka wa mchangangani
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom