Bongo Movie (Combined) vs Safarina Movie

Andrew123

JF-Expert Member
Jun 2, 2012
7,046
8,621
Hivi ukichanganya Bongo Movie zote zilizowahi kutoka nchini kuna ambayo inaikaribia Filamu ya SARAFINA?

Attachments

  • upload_2017-4-29_23-33-22.jpeg
    upload_2017-4-29_23-33-22.jpeg
    42.5 KB · Views: 115
Hivi bongo movie kuna movie yoyote kuna uharibifu wa mali kama magari na nyumba??

Au kuna movie yoyote kuna upigaji wa risasi kama live vile?

Au ushiriki wa waigizaji wanaovaa kama JWTZ na vifaa vyao kama vifaru, makombola na mabomu hata ya kutupa kwa mkono?
 
Kwani msanii Nguli kama Wolpa na ngazi za juu hawezi kuwasiliana na hao HOLLYWOOD wakaja kurekodi Bongo Movie? ili waachane na Camera za birthday party?
thubutuuuuu!!!, kwa unguli gani alionao!?, labda itokee organization kubwa kama WHO, BBC au mashirika makubwa yatake kufanya film yenye lengo fulani hapa bongo, ndio hayo mashirika yachukue contract Hollywood ila siyo hao unaowataja, hamna mwenye uwezo huo
 
Mkuu tuseme hata SUMMA-JKT ama VETA hawawezi kututengeneza hiyo mitambo hapa hapa nchini maana chuma tunacho Liganga simenti kwa Dangote nini tena kinahitajika?
 
故曰:知彼知己,百戰不殆;不知彼而知己,一勝一負;不知彼,不知己,每戰必殆。
So it is said that if you know your enemies and know yourself, you will not be put at risk even in a hundred battles.
If you only know yourself, but not your opponent, you may win or may lose.
If you know neither yourself nor your enemy, you will always endanger yourself.
 
thubutuuuuu!!!, kwa unguli gani alionao!?, labda itokee organization kubwa kama WHO, BBC au mashirika makubwa yatake kufanya film yenye lengo fulani hapa bongo, ndio hayo mashirika yachukue contract Hollywood ila siyo hao unaowataja, hamna mwenye uwezo huo
Unataka kunambia hata mmoja wapo wa huki holiwudi hawezi kudata na wolpa akachkua chance ya hamonaiza wakaamua kuja kufyatua kafilamu ka kikobongo kwa mamitambo yao huko?
 
Unataka kunambia hata mmoja wapo wa huki holiwudi hawezi kudata na wolpa akachkua chance ya hamonaiza wakaamua kuja kufyatua kafilamu ka kikobongo kwa mamitambo yao huko?
Ndugu mbona unakua huelewi? holiwudi ndo pua zao hazipo sensitive ama?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom