Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,520
- 2,059
Habarini JF.
Kwa kitendo hivhi kinachoondelea kiukweli hakuna pale msanii yaani WIMBO mbovu saana Tena saana.
Tatizo anamuiga sana ZUCHU na manajiment Yake kiujumla bado inawawaza sana WCB.
Kiukweli huu Ni ukweli mchungu Sana Ila yote haya kayataka mmakonde underground [emoji23][emoji23][emoji23]
Na kwa stahili hii acha WCB waendeleee kurun game ya bongo flavour.
WCB na NLM ndio LABEL kubwa EAST AFRICA.