Nandy Festival - Clouds FM

Darius RR

JF-Expert Member
Feb 5, 2019
210
500
Leo Nandy ana jambo lake, atakuwa Clouds FM akisindikizwa na baadhi ya wasanii.

Jukwaa limetengenezwa eneo la kuegesha magari, pamependeza sana.

Jambo lenyewe linatarajiwa kuanza mishale ya saa 4 mpaka alasiri huko.

Watakao pata nafasi wafike zilipo ofisi za Clouds FM Mikocheni, hakuna kiingilio.

Pia kuna baadhi ya matukio yatakuwa live kupitia TV na Youtube Channel.

Kama nitapata nafasi nitaendelea kuwadokezea nini kinaendelea.

NB: Nitashindwa kuwapa picha maana natumia simu aina ya Tecno na imepasuka pasuka kioo, hivyo haipigi picha vizuri.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom