Dayna Nyange ft Davido ni ngoma kali na watu hawana time nayo

Kajeba

JF-Expert Member
Oct 15, 2020
800
1,921
Hii nchi inaongoza kwa unafiki, hii ngoma imetoka mmekaa kimya, hamsemi wala hamsikilizi

Kuna watu wanasikiliza mziki kwa majina ya wasani. Dayna Ft Davido ELO ni ngoma kali sana na hii ni miongoni mwa collabo bora ambazo Davido amewahi kufanya na wabongo

Marketing..... Management... Fan base..... Na kwa solo la Sasa usitoe nyimbo Kali Kama ile bila kujipanga kwa makiki na vibwanga ili atleast itembee kidogo then public ipick from there
 
Wanaoji Brand munaita Kiki ndio atajua hajui

Wanaosikilizwa hawajaamka usingizini tu wakasikilizwa wame Hustle...kuna tofauti kati ya Kujua kuimba na Kufanya Biashara
 
Hii nchi inaongoza kwa unafiki, hii ngoma imetoka mmekaa kimya, hamsemi wala hamsikilizi

kuna watu wanasikiliza mziki kwa majina ya wasani
Dayna Ft Davido ELO ni ngoma kali sana na hii ni miongoni mwa collabo bora ambazo Davido amewahi kufanya na wabongo
Nyimbo ya kawaida sana,
Sio club banger hata kidogo,ilibidi afanye korabo sio Na Nigeria,angeenda USA akapiga na Liana,Jay-Z, la lil Kim,au au na mwanamziki yoyote wa USA,hizi korabo na wanaija tumeishazizoea,
Sasa kama ni mwendo wa kuigana hakuna tija,Mond kafanya kolabo na Koffi,asubuh yake Bandy nae kafanya !huku ni kukurupuka,
Nenda kacheki song Aye Kati ya Koffi na gaz fabrigous uone kitu kilivyo
 
Liana???..msanii mpya huko USA nini?

Ololooooo...
 
Nyimbo ya kawaida sana,
Sio club banger hata kidogo,ilibidi afanye korabo sio Na Nigeria,angeenda USA akapiga na Liana,Jay-Z, la lil Kim,au au na mwanamziki yoyote wa USA,hizi korabo na wanaija tumeishazizoea,
Sasa kama ni mwendo wa kuigana hakuna tija,Mond kafanya kolabo na Koffi,asubuh yake Bandy nae kafanya !huku ni kukurupuka,
Nenda kacheki song Aye Kati ya Koffi na gaz fabrigous uone kitu kilivyo
Liana+korabo = Aisee
 
Hii nchi inaongoza kwa unafiki, hii ngoma imetoka mmekaa kimya, hamsemi wala hamsikilizi

kuna watu wanasikiliza mziki kwa majina ya wasani
Dayna Ft Davido ELO ni ngoma kali sana na hii ni miongoni mwa collabo bora ambazo Davido amewahi kufanya na wabongo
Kama kali kwako usilazimishe iwe kali kwa wengine
Nivute kwako bado itaendelea kuwa classic ya Dayna kwangu...
 
Sasa hivi watu hawasikilizi tu Muziki, wanaangalia ni ngoma ya nani ?

Muziki umejaa chuki na unafiki na wanaoongoza kujenga chuki ndio wanajifanya kuhamasisha uzalendo.
 
Kwani mzee baba wewe huna chuki?
 
Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom