My father is strange, Best family and comedy drama

Oct 16, 2020
92
150
Kama ww ni yule mpenzi wa Korean drama za family na comedy basi hii isikupite.
Drama hii imetok mwaka 2017 na ina ep 52.

Drama:FATHER IS STRANGE
Tv channel:KBS
Set:Korea
Year:2017
Episodes: 52

Plot

Drama inazungumzia familia ya watu wa maisha ya kati ambayo wanamiliki mgahawa.Familia ya baba,mama mwnye mabinti watatu na kijana mmoja wa kiume.
Siku moja anatokea kijana mmoja ambae ni star wa kundi la muziki lakini pia ni muigizaji akidai kua baba wa familia hii ni baba yake.
Hapo ndipo msala unaanza familia yake ikiona imesalitiwa na yule kijana akilaum kua baba yake kwanini alimtelekeza na akalazimish kuish hapo hapo.

Hii drama itakupa hisia tofauti,kama ni kucheka andaa mbavu,pia itakupa romance za hatar usisahau kero za hapa na pale.Trust me hutajutia data yako kuichek hii drama.

Drama ina patikana

kissasian.sh

Pia inapatikana youtube channel ya KBS WORLD.
My_Father_is_Strange-p1.jpg
 
Super Assassin

JF-Expert Member
Jul 12, 2018
404
500
Sielewagi Wakorea kwenye Naming why would you call a Tv show My Father is Strange iko Sketchy sijui yaan hii ni sentence na sio Title
 
Oct 16, 2020
92
150
Sielewagi Wakorea kwenye Naming why would you call a Tv show My Father is Strange iko Sketchy sijui yaan hii ni sentence na sio Title
Yaani unashangaa vip tamhilia kuitwa hvyo MY FATHER IS STRANGE tafsiri yake ni kama baba yangu ni mgeni au mpya.So ukiangalia hii Tv show utajua kwa nn imeitwa ivyo.labda nikupe sababu moja.

Ukiangalia hii drama hyu baba anaezungumziwa alikua ni baba msikivu kwa wanae na alikua hawafichi watoto wake kitu chochote.So walipo kuja kujua kua baba yao ana mtoto nje ya ndoa ilikua ni mshangao kwao,na zaidi pia kila walipotaka maelezo kuhusu hyo mtoto hakutoa maelezo zaidi ya kuomba msamaha.

Kutokana na tabia za mzee kubadilika ndio tafsiri halisi ya hilo neno my father is Strange. And u can't judge a title wakati hTa hujafungua page moja ya kitabu bro. Ni sawa na kitabu cha JOKA LA MDIMU
 
Super Assassin

JF-Expert Member
Jul 12, 2018
404
500
Title ndio inamfanya mtu anunue kitabu ule msemo wa you can’t judge a book by it cover ni old school Title na Cover ndio inaanza kukuvutia then unachukua kitabu na kuanza kukagua zaid unageuza nyuma kupata plot.

Na kuhusu hiyo Title ya Movie iko Shallow kama imeandikwa na Teenager, Title inabidi iwe serious na well cultivated Mfano hii Title ni ndefu, “How to get away with Murder” ila unaona iko Serious na well created kiukweli hiyo plot na title uliyosema kwenye production serious hawawez wakatengeneza kitu kama hicho ni kawaida sana.
 
Unaposema yuko shallow unachekesha wakat muandshi wa hyo story kashinda Oscar kama best director 2019.Na hyo drama imeuzwa zaidi ya nchi 56 dunian.All in all ni maoni yako bro
 
James Comey

JF-Expert Member
May 14, 2017
5,909
2,000
Drama nyingi amabazo wanakopi usa ziko sharo kwasbbu unayemkopi anatoa vitu vipya kila siku so unakuwa unatembea ktk kivuli chake cha ubora uliododa.........nitaitazama ila kwa uzoefu tu drama nyingi za asia na africa ni shit hole
 
Super Assassin

JF-Expert Member
Jul 12, 2018
404
500
Unaposema yuko shallow unachekesha wakat muandshi wa hyo story kashinda Oscar kama best director 2019.Na hyo drama imeuzwa zaidi ya nchi 56 dunian.All in all ni maoni yako bro

Sasa Best Director ndio anaandika story nzuri toka lin? Wapo exceptional kama kina Quentin Tarantino and I am sure huyo alieandika Drama yako is not one of them, ww ndio unawenge sasa Director ni director Bro na sio Writer
 
venance7

JF-Expert Member
May 15, 2019
372
1,000
Mkuu sites gani ni nzuri zaidi ambazo ninaweza kudownload hizi Korean drama ambazo hazina matangazo sana?,huwa naitumia dramacool shida Kuna drama ambazo nazihitaji sana kama innocent defendant, golden cross,na iris zina low quality na hakuna option ya kubadilisha quality ya picha
 
Www.Kissasian.ch

Hii ni channel bora sana ina drama za Korea zote na kila cku wanawek ep mpya za drama zinazoendelea
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom