Easy Sunday Clouds leo mmekuwaje?

Easy Sunday Clouds leo mmekuwaje?

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,633
Reaction score
7,021
Mbona hizo mnazopiga kila kituo hata vyetu huku mikoani ndo zinapigwa?

Huyo DJ sijui clash designer hafai kuwa hapo.Tunataka zile country tulizozizoea
 
Halafu viredio vyetu huku mikoani navyo vimejaa ujinga ujinga tu kuiga mambo ya hovyo kama vile miziki ya ngono ya hawa vijana wa bongo fleva.

Miziki ya maana imekuwa adimu sana
 
Kipindi nakipenda sana, ila mtangazaji niliemzoea sio huyu uliemtaja. Jerry Minja ndio anapatia.
 
Back
Top Bottom