Without Remorse: Hii movie ni hatari iliyojaa balaa zito

Richmoto Kushmoto

JF-Expert Member
Jan 18, 2021
315
500
Without Rumorse

Kikosi cha wanajeshi kikiongozwa Liutenat commander wa kike wakiwa kwenye mission Huko Alleppo - Syria wakishirikiana na kwaajili kwa kumuokoa agent wa CIA anayedaiwa kushikiriwa na serikali ya syria baada ya mission kumalizika na kumpata mtu wao

Lakini Mwanajeshi senior chief john anagundua kuwa askari waliokuwa wanapambana nao sio wa syria ila ni ex military wa russia kizungumkuti kinaanzia hapo

Baada ya kurudi nyumbani na kuinjoy na familia zao kikosi chote cha john kinauliwa ndani ya juma moja na john anavamiwa nyumbani kwake mke wake mwenye ujauzito anauliwa anajitahidi kupambana lakini anashindwa kusaidia mke wako alichelewa sana Na balaa ndo linaanzia hapo Ebwana wee ✊

They took my wife. πŸ™
and they took my baby girl Before she take a chance to take a breath πŸ™

That contract is broken. They gonna play by my rule Now πŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘Š

Jamaa anagawa mkongoto kama uliipenda creed basi hii ni moto sana hakuna ujinga ujinga huko

Unaweza na download kupitia Netnaija Movie

H.C Richmoto kushmoto
 
Kiti Chema

JF-Expert Member
Oct 18, 2017
1,119
2,000
Mkuu ni app gani ya kupakuwa movie kwa kutumia Mb tu bila kulipia.

Super Assassin

JF-Expert Member
Jul 12, 2018
535
1,000

Baada ya kurudi nyumbani na kuinjoy na familia zao kikosi chote cha john kinauliwa ndani ya juma moja na john anavamiwa nyumbani kwake mke wake mwenye ujauzito anauliwa anajitahidi kupambana lakini anashindwa kusaidia mke wako alichelewa sana Na balaa ndo linaanzia hapo Ebwana wee

They took my wife.
and they took my baby girl Before she take a chance to take a breath

That contract is broken. They gonna play by my rule Now

Jamaa anagawa mkongoto kama uliipenda creed basi hii ni moto sana hakuna ujinga ujinga huko

Unaweza na download kupitia Netnaija Movie

H.C Richmoto kushmoto

Binafsi ile Movie mm sikuielewa naona iko kawaida haaf ilikuwa Prediactable Plot twist nlikuwa nshaziona Moments Movie inaanza kuna vitu viko shallow yaan walikuwa wana improvise ili waweke actions aisee binafsi kama rating natoa 3/10 ile Movie ni Trash.

Hata kama kuna sequel lakin hapa Maswali kibao mm sijaelewa hawajaonesha reaction ya Familia yake wala ya mwanamke wala watu waki Mourn kuhusu msiba, yaan walikuwa wanaipeleka faster kwenye actions ambazo hazikuwa fascinating imeenda enda tu like crap
 
olele

JF-Expert Member
Dec 2, 2010
1,187

uko sawa kabisa..hii filamu imeniangusha, imepewa promo sana nikatarajia makubwa lakini nimekuta ni ya kawaida tu
 
Super Assassin

JF-Expert Member
Jul 12, 2018
535
1,000
uko sawa kabisa..hii filamu imeniangusha, imepewa promo sana nikatarajia makubwa lakini nimekuta ni ya kawaida tu

Ya kawaida sana, yaan actors ndio Wameibeba Michal B Jordan, yule Dada cast nzima kiukweli imejitahid kudeliver performance ila story ndio iko mbovu aisee very shallow, predictable and boring
 
Astana

JF-Expert Member
Mar 28, 2021
241
500
Oooh siichukui kama ndo iko hivyo? Au nidownload tu nami niitazame!

Nb: Pigia Yesu Makofi πŸ‘πŸ‘
 
njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
1,716
2,000
mbovu sana kiukweli kabisa kwanza haina uhalisia wa adaptation ya kitabu walicho claim ku adapt story..kwa kifupi hii corona imesababisha kwa miaka 2 tumekuwa tunaletewa movies za kiwaki sana na kuna nyingine zilikuwa zimewekwa kwenye ma shelves miaka ya nyuma
kutokana na hii loophole ya covid 19 na watu wameanza kurudi theatres kwa sasa ndo mashudu yanaanza kutoka subiri in 9 moths hivi tutaanza kuona vitu vya maana ila in the mean time tafuta movie inaitwa WRATH OF MAN directed by Guy Ritchies starring ni Jason statham.
 
Upo teyari wikiend nauchek
 
Below 40

JF-Expert Member
Aug 21, 2019
409
1,000
Movie mbovu yani saiv promo zote ukija kuangalia ni disappointment kabisa, movie mpya mi ndio maana sina haraka nazo nawacheki tu.
Nafanya review nimetoka kuangalia pirates of the Caribbean sasa hivi naangalia Lord of the rings nikimaliza naendelea,
The Hobbit
Harry Potter
Rocky
James Bond
Die hard
The godfather
Jason bourne mpaka franchise zote nimalize.
 
Mr Q

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
10,928
2,000
Ya kawaida sana, yaan actors ndio Wameibeba Michal B Jordan, yule Dada cast nzima kiukweli imejitahid kudeliver performance ila story ndio iko mbovu aisee very shallow, predictable and boring
Em punguza maneno ulitaka muvi iweje?
😁😁😁😁

Baada ya kueleza hayo naomba majina ya muvi kali za kuanzia mwaka huu ila zisiwe
Horror
Science Fi..

Nataka
Thriller
Action basi.

NB nineshaangalia
Wrath of a man
Thise who wish me dead
Ten minutes gone
Without romorse
Virtuoso
No body
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom