Sababu 10 za kwanini simpigii Kura Diamond Bet

abdulhamis

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
1,436
2,292
Habar watanzania polen na majukum Leo nimeona niwawekee sababu 10 za kwanini sito mpigia kura Diamond kwenye Tuzo za Bet

1) kwanza Diamond mimi sio mashabiki wake na wala sijawahi kumpenda
2) Diamond sio Mzalendo kwenye mambo ya kizalendo nashangaa yeye Leo kwenye kuitaka Tuzo ya Bet yeye na genge lake wanatumia uzalendo kuomba kura wakat yeye ndio wa kwanza kudidimiza wasanii wenzake wasiweze kujipatia mkate wao wa kila siku

3) Diamond kuonyesha Dharau kwenye msiba wa ruge na kumchafua kua Ruge alikua ananyonya wasanii wakat yeye alivyo toka kwenye management ya Ruge alitoka Bura na Ruge hakummaind ila yeye Harmonize katoka na kamlipa Lakin kila siku vita

3) Kutomsapot dainanyange pia ni kukosa uzalendo kwani Dainanyange ni mtanzania na aliitaji uzalendo wetu ila kina Diamond waliombwa saport wakamtolea nje ila Davido kajitoa kwa Dada yetu kwaio wanaijeria wanaitaj sapot kutoka kwetu

4) Kujifanya kua kila mafanikio yake ni judud zake sababu najua hata akichukua io tuzo atakuja Kuanza kujidai kua wote walio kua wanampinga kawashinda wala hato kumbuka kua tumempigia kura

5) Mama yake kujiona yeye ndio Kazaa peke yake na kumtumia mwanae kuzalilisha watoto wa wengine bila kujali mama zao watajiskiaje

6) Kumsaliti mzee Abdul alie mlea kwa Miaka yote

7) NI SADALA

8) Kwasababu sitaki ashinde

Izo ni Baadhi ya sababu zangu hivyo mimi Binafa kura yangu nampigia Burna Boy
 
Badala ya kufikiria maisha yako namaendeleo yako unamuwaza diamond, hivi mbona watanzania tunapenda sana story story za maisha ya mtu? Fanyeni yenu bana, huo muda unaotumia kufikilia sababu ungekuwa unawaza business plan au project kwaajili ya kesho yako ungekuwa mbali sana.
Hii nchi kuna ujinga mwingi sana
 
Mtu mwerevu hawezi kumpigia kura diamond, mnaleta kigezo cha uzalendo, huyo mrundi hana uzalendo wowote hana impact kwenye maisha ya watanzania wanachama wenzake wa ccm wakampigie kura na tuzo hiyo hawezi kupata
 
Mimi ninafikiri Badala ya Kutompa kura vipi wewe ukawa mfano bora kwake ukawa mzalendo ili na yeye ajifunze kwetu kuwa Tunamjali hata kama Ametukosea.
Ndija niseme kitu hivi mnakumbukaga Hemed alisindanaga yale mashindano ya Tusker project frame kama sikosei pale Kenya na akamjibu vibaya sana One of the most smart Jaji. Kitu nilichokipenda ni sisi watanzania kulivyo Amua kumu-Attack sisi kama sisi walipokuja wakenya kuingilia tuligeuka wote kwa pamoja na kuanza kuwawa-Attack wao.
So kwanini tusiwe wa umoja huo kwa sasa jaman.
Mbona wakina Mwisho mwa Mpamba tulikuwa pamoja na wakati alikuwa anatembea uchi Africa nzima inaona na aliporud na tunzo tulimpokea kwa furaha.
Basi hata kwa Dimond tufanye hivyo basi jaman all in all we are Tanzanian.

Tuweke tofauti zake pembeni tumbebe yeye juu kwaajili ya Taifa letu.
 
Picha ni mfano mzuri katika kusindikiza uzi
Screenshot_20210531-155633_Twitter%20Lite.jpg
 
Badala ya kufikiria maisha yako namaendeleo yako unamuwaza diamond, hivi mbona watanzania tunapenda sana story story za maisha ya mtu? Fanyeni yenu bana, huo muda unaotumia kufikilia sababu ungekuwa unawaza business plan au project kwaajili ya kesho yako ungekuwa mbali sana.
Hii nchi kuna ujinga mwingi sana
WEWE UNGEKUA BUSY NA HIZO BUSINESS PLAN, WALA USINGEKUJA KUKOMENTI HUKU😂
 
Habar watanzania polen na majukum Leo nimeona niwawekee sababu 10 za kwanini sito mpigia kura Diamond kwenye Tuzo za Bet

1)kwanza Diamond mimi sio mashabiki wake na wala sijawahi kumpenda
2) diamond sio Mzalendo kwenye mambo ya kizalendo nashangaa yeye Leo kwenye kuitaka Tuzo ya Bet yeye na genge lake wanatumia uzalendo kuomba kura wakat yeye ndio wa kwanza kudidimiza wasanii wenzake wasiweze kujipatia mkate wao wa kila siku

3),diamond kuonyesha Dharau kwenye msiba wa ruge na kumchafua kua Ruge alikua ananyonya wasanii wakat yeye alivyo toka kwenye management ya Ruge alitoka Bura na Ruge hakummaind ila yeye Harmonize katoka na kamlipa Lakin kila siku vita

3)kutomsapot dainanyange pia ni kukosa uzalendo kwani Dainanyange ni mtanzania na aliitaji uzalendo wetu ila kina Diamond waliombwa saport wakamtolea nje ila Davido kajitoa kwa Dada yetu kwaio wanaijeria wanaitaj sapot kutoka kwetu

4)kujifanya kua kila mafanikio yake ni judud zake sababu najua hata akichukua io tuzo atakuja Kuanza kujidai kua wote walio kua wanampinga kawashinda wala hato kumbuka kua tumempigia kura

5)mama yake kujiona yeye ndio Kazaa peke yake na kumtumia mwanae kuzalilisha watoto wa wengine bila kujali mama zao watajiskiaje

Izo ni Baadhi ya sababu zangu ivyo mimi Binafs kura yangu nampigia Burnaboy
Huyu Mond kamsaliti mzee wake, ni dhambi kubwa sana
 
Back
Top Bottom