Richmoto Kushmoto
JF-Expert Member
- Jan 18, 2021
- 549
- 561
Hii inaitwa street fighter legacy humo ndan kuna ryu na ken na kaka msaliti jambazi akuma nimeitafuta sana internet nimeikosa
Mwenyewe anaijua namna yakuipata tafadhari aniachie linki niipakue
Wasalaam [emoji120] muwe na jumapili njema
Mwenyewe anaijua namna yakuipata tafadhari aniachie linki niipakue
Wasalaam [emoji120] muwe na jumapili njema