Unamzungumziaje msanii Mejja maarufu kama Okonkwo?

DeepPond

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
14,302
2,000
My Take:
Uyu jamaa "MEJJA" ana kipaji kikubwa sana cha kuimba mziki wa kuchekesha.

Uyu jamaa Ni stress free,

Uyu jamaa idea za Nyimbo zake sijui huwa anazitolea wapi, yaani Ni full vituko.

Rejea Nyimbo yake ya LAND LORD, BARUA, SISKII au ulimi yangu

Ukichanganya na ile lafudhi yake ya kiswahili ndo balaa.

Nikiangalia video ya nyimbo yoyote aliyoimba au ameshiriki Lazima nijikute tu NIMECHEKA.

Hali hii sijui ni mimi peke Angu au lah?

Hizi hapa Nyimbo zake maarufu sana alizoimba au kushirikishwa
1. Mejja- Land lord
2. Mejja- barua kwa bro
3. Femi one ft Mejja- UTAWEZANA
4. Mejja- siskii
5. Mejja- ULIMI YANGU
6. Mejja- Tabia za wakenya

Picha zake nimeambatanisha
images-103.jpg
images-100.jpg
images-101.jpg
images-102.jpg
 

DeepPond

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
14,302
2,000
Nikikupea utawezana?
Jamaa aliitendea haki Nyimbo ,


"Mejja umeanza kuniflirt, aaah
Unataka kunikula kama plata

Hiyo kifua nataka kuichambua
Mi nataka kukulamba mpaka ushindwe kupumua ah
Kidesign umeanza kunibamba
Nikikupea usiende kutangaza

Ah, hiyo ni siri (Wazi) ka pin number
Sitaambia mtu sitaambia hata King Kaka
Haina noma leo utanikula
Lakini ka ni ndogo usishinde ukikuja (Aaah)

Okonkwo na kitambi utawezana (Nitawezana)
Nikikupea utawezana? (Nitawezana)
Manze Femi One nikikupata
Nitakupenda ka vile napenda tumbla"
View attachment 1803360
 

Shadow7

JF-Expert Member
Sep 28, 2020
6,499
2,000
Jamaa aliitendea haki Nyimbo ,


"Mejja umeanza kuniflirt, aaah
Unataka kunikula kama plata

Hiyo kifua nataka kuichambua
Mi nataka kukulamba mpaka ushindwe kupumua ah
Kidesign umeanza kunibamba
Nikikupea usiende kutangaza

Ah, hiyo ni siri (Wazi) ka pin number
Sitaambia mtu sitaambia hata King Kaka
Haina noma leo utanikula
Lakini ka ni ndogo usishinde ukikuja (Aaah)

Okonkwo na kitambi utawezana (Nitawezana)
Nikikupea utawezana? (Nitawezana)
Manze Femi One nikikupata
Nitakupenda ka vile napenda tumbla"
View attachment 1803360
Alibamba mno
 

DeepPond

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
14,302
2,000
Hii ngoma ya PRAKATA- Willy Paul ft MEJJA


"
Nataka daktari omari Kutoka tanzania
mmmmh Anipee dawa za kiume

Leo kuna manzi me na nyemelea ah!
Kuna vile namdai joh ah!

Nataka kum sample ka Nelly
Ntaskia laha ndani ya laa Akanipa laha ndani ya loo

Ha! kakei ni kake ni ka tight kadogo eh!
Vile nilitoa kenyamo ah Ililia ka kifuniko ya spido okwonko haha, yoo"
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom