Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Kumekuwa na makelele mengi kuwa mziki wa Tanzania hauna mvuto tena umeshuka. Kelele hizi zinapigwa na wasanii wenyewe,djs na producers pia na raia wa kawaida. Wengi wanaotoa maoni hayo wanaamini...
0 Reactions
0 Replies
588 Views
BAADA ya miaka minne ya kuajiriwa bila hata kuongezwa mshahara au hata marupurupu, Bwana Juma Hassani aliamua kwenda kwa bosi wake kulalamika. Jibu alilolipata kwa bosi wake ni kwamba, hakupewa...
3 Reactions
3 Replies
974 Views
Straight to the point, Naomba mwenye album mpya ya Yeezy (Kanye West) - Donda aweze kuweka link hapa au kushare, nimejaribu torrents bila mafanikio. Naitafuta sana ngoma ya No Child Left Behind
0 Reactions
1 Replies
839 Views
nilizoea kuishi mwenyewe..ila kwa sasa kuna watoto flan nitakuwa nao..so kwa vile mm ni mdau wa movie sana muda wote...naomba majina ya movie ambazo sitakiwi kuweka kwenye folder/flashdisk au dvd...
3 Reactions
39 Replies
8K Views
Rayvanny ni msanii talented sana linapokuaja suala ya kuimba yaani kibongo bongo ni R KELLY maana sio poa that's why anakimbiaza sana Spotify, tidal, apple music, you tube, Deezer , audiomack na...
1 Reactions
41 Replies
5K Views
Zuchu na harmonize waliachia nyimbo zao siku moja huko youtube Lakini katika hali ya kushangaza views za Harmonize zilionekana kupaa ghafla kwa speed ya light 😅😅😅 mpaka watu tukawa tunashangaa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wana Jf Ni muda mrefu nimekuwa nikiitafuta hii tamthilia ya Kichina iliyokuwa ikioneshwa TBC kwa lugha ya kiswahili lakini Sijafanikiwa kuipata. Nimejaribu kugoogle kila aina ya context...
1 Reactions
6 Replies
5K Views
Ndo kwa mara ya kwanza namuona Eminem akitabasamu Icheck hapa:
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Inaitwa "baby shark dance" Nimeiangalia wala sijaona maajabu yake.
2 Reactions
33 Replies
5K Views
yelena na natasha wanaingia kwenye mikono dreykov wanapikwa kwa mafunzo makali na mbinu mbalimbali za kijasusi wao pamoja na mamia ya wasichana wanafanya kila wanchoambiwa kwa ubongo wao ni kama...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Taylor Swift, msanii namba moja kwa mauzo 2020/21 Kama unapenda melody nzuri sikiliza nyimbo hizi HUTOJUTIA Cardigan Seven Willow(for girls) tis the damn season Long story short Dorothea...
2 Reactions
0 Replies
722 Views
Kama kawaida akiona inatrend style flani ataungaunga na kuforce wimbo hadi upendwe. Jana kaingia studio na CN mufasa kutengeneza nahisi track ya mtindo wa kibondeni "Amapiano". Jamaa wanawadaka...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Mtandao wa YouTube wenye makao makuu yake Marekani. Umefuta baadhi ya viewers kwenye wimbo wa ATTITUDE wa msanii Harmonize aliyo mshirikisha Msanii wa Zamani H. Baba pamoja na msanii wa Lumba...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa wanaomkubali FidQ Dondosha msTari wowoTe unaoufaham #FidLines[emoji116][emoji116] 'Bora wakuogope, Wakikupenda Watakuchukia'. ☆ FidQ ☆
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Leo nimeitazama mission imposible niliweka kwenye store mda mwingi nikawa naiskip tu kumbe ni bonge moja la movie Iko hiv binti yoh dae hae ni kutoka kitengo nyeti cha usalama anatakiwa kufanya...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
50 CENT, GHETTO ECONOMICS NA MUZIKI WA RAP - 1 UTANGULIZI Peace Family Kwenye Kitabu nilichoandika cha “Uelewe Utamaduni wa Hip Hop” kuna sura inajulikana kama “Vita vya Kimashahiri mjini New...
8 Reactions
14 Replies
3K Views
Back to Back Song mpaka mteme ndoano. Kule kwa wachafu roho baada ya mziki kubuma, na kik za mademu Kubuma sasa wamejikita kwenda kukopa hela benk ili wanunue mandinga waweze trend
5 Reactions
18 Replies
4K Views
Hatimaye ijumaa imefika. Album hii, binafsi niliisubiri sana, mimi ni mdau mkubwa wa muziki wa Reggae, hawa jamaa wa Morgan Heritage ni moja ya Band bora kabisa ya Reggae. Gramps Morgan ametoa...
1 Reactions
0 Replies
839 Views
Burudani na mazoezi yamekuwa na umuhimu mkubwa katika karne hii. Viongozi katika nchi nyingi wamekuwa wakijaribu katika kuhimiza wananchi wao katika swala zima la kufanya mazoezi. Kuwepo na...
0 Reactions
0 Replies
796 Views
Back
Top Bottom