Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 8,571
- 14,165
Wakuu wale wapenda Hip Hop ngumu za asili mtu mzima Nas Escober ameachia album yake Kings Disease II
Mwaka jana aliachia KD1 na ikafanya poa ikampatia Grammy Award kama album bora ya hip hop
Kama unapenda Modern rap basi hii album unaweza usiielewe kabisa, maana katambea na flow zake za miaka yote na yale ma beat ya kigumu