Francis fares Maro

JF-Expert Member
Jun 20, 2021
1,227
1,339
Wakati mwengine ukweli usemwe, nilikua nadhani mziki wetu umepoteza dira kwasababu ya kiki, skendo na mambo mengine yasiokua na maana na tena yanaharibu kabisa watoto wetu huko uswahilini.

Tokea Jana nimekua nasikiliza nyimbo nzuri sana za kijana huyu, tungo zake aisee, nimeangalia videos duh huyu kijana ni mtu mwengine jamani tuseme tu kijana anaweza

Hivi WCB nzima kuna mtu ana mistari mizuri na yenye kuita kumshinda Vannyboy kweli? Wakati mwengine kila mtu ana matatizo yake lakini Kwa kipaji hiki Tanzania tunachakujivunia sana

Nimeona kuna watu wanajaribu kumshindanisha na wanamziki wengine wenye Kariba yake lakini nawaomba msikilize mziki wake vizuri alafu mje tena

Rayvanny nimeamua kuwa shabiki yako rasmi kuanzia leo
 
Rayvany ndiyo nani?
Kijana flani hivi...
images (2).jpeg
 
Umenyanyua mikono umenyoa nywele za kwapa?

Mm binafsi naona kelele tu..
Nyimbo hakuna
 
Back
Top Bottom