Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Huu mchezo unaoitwa Crate Challenge ambao video zake zimeshika kasi katika mitandao ya kijamii hususan Tik Tok na Instagram huenda, kabla haujapoteza umaarufu wake, ukawaacha watu wengi na...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
*Nimejifunza kuwa wachina wanazichukia nchi za Magharibi na washirika wake kama Japani Mfano movie za JET LEE *Nimejifunza kuwa waafrika tunakumbatia unyonyaji mfano filamu ya blood diamond...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
ANAITWA LIDOX MNYAMA (#karagweboy), AMETOA WIMBO MPYA WA UNANIFAA. PLEASE FOLLOW ME ON LINK IS ON MY BIO ENJOY GOOD MUSIC FROM YOUR BOY #karagweboy https://instagram.com/p/CTCzov-K1Ya/...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Fast and Furious 9 'F 9' imetangazwa kuwa filamu iliyoingiza pesa nyingi zaidi kutoka kwenye majumba ya sinema toka kuanza kwa janga la Corona Virus duniani. Mpaka sasa F9 Imetengeneza dola...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
MOVIE YA BECKETT Wakiwa matembezini Ugiriki becket na Mpenzi wake april Usiku mmoja wakati becket na girlfriebd wapo ndani ya gari wakielekea sehemu ya kupumzika Ulikuwa ni umbali mrefu hivyo...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Mwenye season ya Sinia na Huba naomba anisaidie kuzipata ,shukran.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajamvi, Nimeamua kuwaza tu nmje ya box kuhusu hili tukio la leo pale daraja la Salender. Nimeleta huku kwenye uzi wa entertainment maana huku wengi watakua na ufahamu mkubwa wa hii game...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu wadau wapenda movies hasa zile za kutisha. Hivi juzi Kati hapa nilicheki movie inayoitwa 'the conjuring', nilicheki sehemu ya Kwanza na ya pili. Hii ni baada ya kupata habari zake...
8 Reactions
194 Replies
22K Views
HADITHI: .. JOTO LA MAPENZI SEHEMU: 01 MTUNZI: Ally Mbetu ‘DrAmbe’ SIMU: 0713 646500 UTANGULIZI Kutokana na wingi wa watu kuwaorodhesha kabla ya kuwaingiza kwenye kundi la Whatsapp...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Udukuzi umefanyika hapo tena kwa hali ya juu. Ningeshauri Diamond angeomba remix tu na brother men Dully Skys Dully Ft Maua: Diamond Platnumz:
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Wakuu kwema? Niende kwenye mada husika,nauliza hivi ni movie gani ulishawahi kuiangalia lakini baada ya kuisha ukajuta kwanini umeingalia kutokana na mambo ambayo umeyaona humo yanaweza kua...
1 Reactions
73 Replies
8K Views
Wakuu habari, Kwa wale wapenzi wa movies za kiafrica tukutane hapa. Binafsi ni mdau wa Nigerian movies kidogo na za Ghana. This week nimeangalia My wife for Ritual ni movie nzuri sana na...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Wajumbe heshima kwenu, nina shida na biti ya waah ya nyimbo ya dangote x kofi,yeyote mwenye nayo please ashare na mimi au anipe link ila nahitaj orignal sihitaj remake,naona mtandaon nying zipo...
2 Reactions
0 Replies
592 Views
MWANDISHI;Moringe Jonasy Sehemu ya Kwanza Hali ya hewa ya jiji la Arusha jioni hii ilikuwa ya ubaridi kama kawaida yake huku upepo ukisogeza wingu dogo la mvua kuelekea upande wa kasikazini...
2 Reactions
53 Replies
16K Views
Wakuu kwema? Twende kwenye mada. Mimi ni mpenzi wa horror movies tatizo za movie ni kwamba unaangalia dakika 90 mzigo umekata, sasa nataka series zile za kukesha nazo ambazo zinatisha. Nahitaji...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwa uwezo alionao Olympic Lyon haikuwa hadhi yake. Kwa kuwepo kwake Barca dunia itaushuhudia uwezo wake mkubwa katika soka. Msimu umeanza tu kawaficha kina Griezmann na wenzake anaonekana ndio...
0 Reactions
4 Replies
569 Views
Na Smartdunia. ‘’FURAHA NILIYOKUA NAYO TANGU NIKIWA MDOGO,ILIANZA KUFIFIA’’,Jessica alisema huku akifuta machozi kisha akaendelea. Nakumbuka siku ile, tarehe za mwanzoni mwa mwezi wa saba miaka...
3 Reactions
2 Replies
10K Views
Habarini wana jamvini? Nilikuwa msomaji mzuri sana wa majarida ya mwezi kama Bongo, Sani na Tabasamu. Ndani ya haya majarida kulikuwa na riwaya nzuri sana za kusisimua kama MUSAKO WA HAYAWANI...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
HII BEEF NI KAMA BEEF YA " THE GAME vs JADAKISS" beef ya the game na Jada ilisuburiwa kwa hamu sana lakini haikuwahi kutokea. Jada na Game wote ni lyricists wazuri...
5 Reactions
46 Replies
6K Views
Hii filamu ya F9 waliyoitoa naona ndiyo wameboronga zaidi kuliko, bora wangeishia 7 hizi kuendelea ni mbovu mno. Tunaelekea kuona action za wahindi ndani ya Hollywood, haiwezekani filamu gari...
14 Reactions
32 Replies
3K Views
Back
Top Bottom