Hivi mshikaji hela anazo invest kwenye videos zake zinarudigi kweli?
Mfano kwenye inama, Waah!! Unaona kabisa hapa hela ilotumika si ya kitoto...
Video ya IYO ndio balaa, kwanza kuna scenes...
Mwanadada mmoja alikuwa na tatizo flani yaani anashindwa kujicontrol kwahiyo mpaka aipige shoti yaani kuna kifaa kimeunganishws kutoka kwenye mgongo kwahiyo akihisi awezi jikontrol anabofya kitufe...
Nimetafuta kwenye mitandao lakini wapi nakutana na trailer hii movie ni kali Walianza seting tokea 2018 Lakin nashangaa mpaka leo sijaipata Full movie
Mwenye anajua namna ya kuipata anijuze na...
Baada ya kuiangalia hii video kwa mda mrefu nimeona leo nitoe dukuduku langu moyoni, hii video hadi sasa imefikisha views millioni 750 youtube, wameishoot Uganda uswazi kabisa
Yaani ukiiangalia...
Huyu sister nilimkubali sana alivyoigiza kama Harley Quinn kwenye Birds of prey. Alivaa uhusika (kujitia hamnazo) vilivyo. Juzi kati nimemcheki tena kwenye hiyo role kwenye The Suicide squad...
Huu mziki kiukweli unatakiwa kuangaliwa kwa jicho la pekee kwani unaenda kuharibu maadili/ utamaduni wetu. Hebu cheki haya mashairi ya wimbo wa Snura akimshirikisha MSAGA SUMU .
Msaga sumu...
Kwa mfano muvi ya radhe ya mwaka 2021 ya salman umeona action za mule ndo vile vile mtu kapigwa ngumi moja kadunda kama kitenesi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna muda hata babaako...
Mkongwe ambaye hapewi heshima anayostahili. Jamaa ana sick unique tecniques za kuandika na kuchana, hata maneno mengi anayotumia kwenye ngoma ni ya kwake peke yake. Yeye mwenyewe ni shabiki namba...
Samahani, WanaJF!
Naomba mwenye kujua jina la season moja ya kizungu anikumbushe,
Ilikuwa hivi, Walitekwa wanafunzi ambao ni watoto wa mawaziri, rais, makamu wa rais na viongozi wengine ndani ya...
UCHU
By A.E Musiba
SURA YA KWANZA
ARUSHA
Christopher Temu, ambaye Jumapili hii
nyumbani kwake Arusha, alikuwa amefikiwa na
ugeni mkubwa kutoka Umoja wa wanaharakati
wa Afrika...
Habar wadau Moo ni tapel mjanja mjanja sababu Ana ack kama hariackt chochote kumbe anafatilia kwa karibu uku kila anae onesha Nia ya kuto mkubali basi atapambana nae na kama huna uwezo wowote ule...
Amapiano ni muziki mzuri na hivi karibuni umekwenda Sana kwa kiwango kizuri (umu Jf tunasema umekwenda kwa kiwango Cha dreamliner) pongezi kwa wa SA yote hii ni matokeo ya uzalendo na kuamini Cha...
Hii Ndio List Ya Wasanii Wenye Wafuasi (Subscribers) Wengi Zaidi Kwenye Mtandao Wa YouTube
1. #DIAMOND 5.44M
2. #RAYVANNY 3.03
3. #HARMONIZE 2.68M
4. #MBOSSO 1.71M
5. #ZUCHU 1.44M
6. #ALIKIBA...
Kwa mara ya Tatu mfululizo Star Boy wizkid kuijaza tena the o2 london Arena baada ya kutangaza kuhusiana na kuuzwa kwa tickets zote za show yake hiyo(Sold Out) ndani ya Dakika kumi na mbili tu za...
Utii wa Roda
Mama yumo nyumbani, anapika chakula chetu.
Roda yuko nje, anacheza na wenzi wake. Sasa
mama anamwita Roda aje kumsaidia.
— Roda, njoo hapa.
— Ndiyo mama.
Lakini haji. Anacheza na...
-1-
“KWA NINI UMEMCHAGUA POKA KINGU, wakati siku za karibuni kumejitokeza mafundi wengi wa kufanya mauaji, kwa ustadi wa hali ya juu?’’
“Huyu anafaa! Aliongea Ngongoseke
“Ndiyo niambie sasa, kwa...
Kama ulicheki part 1 basi muendelezo wake nini kitajiri humo [emoji95][emoji95][emoji95]
Ngoja nitulie nayo weekend ipo kwenye store teyari na zingine hizi list ya mwaka huu
A quiet place 2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.