Upi ni ukweli kuhusu stori na movies zinazohusu mazombi na mavampire?

benwise

Member
Oct 24, 2015
98
71
Ni miaka mingi tunaendelea kuona movies zinazoigizwa kuhusu mazombi na mavampire kiasi kwamba watu wengi hata watoto wanaamini kama vitu hivyo vipo live na wamekariri kweli kweli.

Je ni kweli mambo ya mazombi na mavampire yapo au yalikuwepo duniani au movies zinatabiri kuwa yatatokea miaka ijayo kama vile tulivyoona kwenye movie ya contagion ya 2011 alafu matukio yaleyale yaliyoigizwa yamekuja kutokea kwenye covid-19 na mpaka sasa dunia inapambana na corona?

Wajuvi wa mambo haya tunaomba mtusaidie kutufafanulia
 
hakujawahi kuwa na ma zombi wala ma vampire na kwanza hayatakuja kutokea kwa sababu kila kiumbe hai ni lazima kiishi kwa chakula sasa ma zombie hukaa hata miezi 2. hayajala na hayadhoofiki.mfano juzi usiku nimeangalia Movie ya John deep alikua ni vampire akaishi kaburini karne na zaidi kutoka 1800’s mpaka 2000’s

na sababu nyingine ni kwamba Brain ndio ina control kila kitu kwa binadamu au kiumbe chochote,without brain we ara nothing sasa zombie yeye unaweza kumkata kichwa afu bado anaishi tu na anakukimbiza how is that possible
lakini nikufahamishe historia ya Ma zombie kidogo.

Mazombie origin yake ni kwenye mambo ya ki roho na Magic,ukitazama movies za miaka ya 70 ma vampire yalikuwaga yanaogopa mwanga na yalikuwa yanaogopa msalaba so yamefanyiwa maboresho ndio yakaletwa ma zombie sasa mkuu,ngoja nilete hiyo video ya Historia ya ma zombie na vampire
 
hakujawahi kuwa na ma zombi wala ma vampire na kwanza hayatakuja kutokea kwa sababu kila kiumbe hai ni lazima kiishi kwa chakula sasa ma zombie hukaa hata miezi 2. hayajala na hayadhoofiki.

hizi movies zilinishinda na siwezi kukaa kuangalia mambo ya kuja jitisha mwenyewe usiku siwezi
 
hahahaha pole sasa hizo hazitishi kuna categories za movies zinazotisha mfano Horror movies na Scary movies,kuna moja nilikuwa naangalia na jamaa yangu tulipiga yowe mara mbili tukaamua tuitoe tu,ile movie ina shtua haitishi yan unastukia kwenye Tv kinatokea tu kiumbe cha ajabu kwa sauti kubwaaa🤣
 
mimi hapana hata hizo zombies zimenishinda kuna ile final destination aisee sikuwah kufika hata mwisho yan siwez naogopa
 
hakujawahi kuwa na ma zombi wala ma vampire na kwanza hayatakuja kutokea kwa sababu kila kiumbe hai ni lazima kiishi kwa chakula sasa ma zombie hukaa hata miezi 2. hayajala na hayadhoofiki.

na sababu nyingine ni kwamba Brain ndio ina control kila kitu kwa binadamu au kiumbe chochote,without brain we ara nothing sasa zombie yeye unaweza kumkata kichwa afu bado anaishi tu na anakukimbiza how is that possible
lakini nikufahamishe historia ya Ma zombie kidogo.

Mazombie origin yake ni kwenye mambo ya ki roho na Magic,ukitazama movies za miaka ya 70 ma vampire yalikuwaga yanaogopa mwanga na yalikuwa yanaogopa msalaba so yamefanyiwa maboresho ndio yakaletwa ma zombie sasa mkuu,ngoja nilete hiyo video ya Historia ya ma zombie na vampire
kumbe basi hizi movies zinatengenezwa ili kututisha tu maana zinaogofya kweli hasa kipindi kile tulipokuwa wadogo tulikuwa tunaogopa kutoka nje usiku tukiziangalia
 
Ni miaka mingi tunaendelea kuona movies zinazoigizwa kuhusu mazombi na mavampire kiasi kwamba watu wengi hata watoto wanaamini kama vitu hivyo vipo live na wamekariri kweli kweli.

Je ni kweli mambo ya mazombi na mavampire yapo au yalikuwepo duniani au movies zinatabiri kuwa yatatokea miaka ijayo kama vile tulivyoona kwenye movie ya contagion ya 2011 alafu matukio yaleyale yaliyoigizwa yamekuja kutokea kwenye covid-19 na mpaka sasa dunia inapambana na corona?

Wajuvi wa mambo haya tunaomba mtusaidie kutufafanulia
Hii ni promotion ya mambo yajayo, Shetani kajipanga kwelikweli
 
kumbe basi hizi movies zinatengenezwa ili kututisha tu maana zinaogofya kweli hasa kipindi kile tulipokuwa wadogo tulikuwa tunaogopa kutoka nje usiku tukiziangalia

kabisa mkuu, na hizo ni miongoni mwa movies zinazotengeneza faida kubwa sana duniani mamilioni ya watu huzitazama,kuna watu wamesomea kabisa mambo ya kuremba waigizaji ili wawe ma zombie yani mtu anaishi kwa kazi hiyo
 
Mambo ya mazombi yametokana na folklore hususani kutoka carribean na sio rahisi kujiridhisha iwapo yapo pengine labda uingie kwenye mambo ya kichwawi labda huko ndio unaweza kuyathibitisha kwa kuwa na yenyewe ni ya ulimwengu wa kiroho.Vampire asili yake ni kutoka kwenye mapokeo ya ulaya mashaririki hususani Romania na wenyewe wana exist kwenye masimulizi na sio rahisi kuprove their existence
 
mimi hapana hata hizo zombies zimenishinda kuna ile final destination aisee sikuwah kufika hata mwisho yan siwez naogopa
mimi hapana hata hizo zombies zimenishinda kuna ile final destination aisee sikuwah kufika hata mwisho yan siwez naogopa
mimi hapana hata hizo zombies zimenishinda kuna ile final destination aisee sikuwah kufika hata mwisho yan siwez naogopa
hahahah ile sio poa kabisa final destination, kwahiyo mkuu wewe ni wa Drama tu ?
 
Vampire, Dragons, Zombies hizi ni simulizi tu ambazo zimekuweko miaka nenda lakini zimepata momentum katika karne ya 18 hasa kutokana na vitabu, pia in present popular culture hasa katika films. Only cannibalism ndio real na baadhi ya secret societies perform as rituals (very secret).
 
Inawezekana ikawa kweli kuna jambo nyuma yake sababu haiingii akilini kama watu miaka yote wawe wanaandaa movie ambazo hazina uhalisia wa maisha ya kawaida kwa pesa nyingi
Mkuu hii ni agenda, ndio maana siku hizi tamthilia nyingi zina mashoga ndani yake ili mzoee muone kumbe sio mbaya ni kawaida tu, hata picha za X nyingi zina Anal-sex kuwazoesha watu huo upuuzi
 
mie nimpenzi wa sci-fi hizi za kina avengers huko kwenye mahorror no, yan movie mtu apigwe achinjwe za kutisha tisha siziwezi
kwenye hizo napenda Spider Man,lakini yale ma robots mfano transformers huwa siyapendi
 
mie nimpenzi wa sci-fi hizi za kina avengers huko kwenye mahorror no, yan movie mtu apigwe achinjwe za kutisha tisha siziwezi
Aisee tumetofautiana sana kwakweli kati ya movie huwa zinanishinda ni hizo sci-fi, naonaga ni uongo wa waziwazi. Horror nyingine ni zinatisha kwelikweli lakini mambo hayo yapo kweli.
 
Back
Top Bottom