Kwanini "Yes Bana" imepigwa remix sana?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,553
44,719
Hii ngoma ya Kaligraph nimegundua inaongozwa kufanyiwa remix kipi kimevutia wasanii. Kama kaligraph na ye alicopy beat sehem na je original version yake Ni ipi? ngoma gani nyingine unayoijua iliyofanyiwa remix Sana?
 
Back
Top Bottom