Habari zenu wakubwa na wadogo zangu.
Naomba niende moja kwa moja kwenye swali/maswali..
Kisheria: Je mwanamke anaweza kuingia hatiani kwa kosa la kutoa mimba bila ya sababu ya...
Sasa BASATA mnafanya kazi nzuri kuzuia au kupunguza unyonyaji wa wasanii, Sasa Kuna inshu kubwa ya hao mnaowatetea pia hao ni wanyonyaji wakubwa Sana wa Maproducer, yaani producer wamebaki chawa...
Nimeona Ibra ametoa video ya wimbo Jipinde, YouTube masaa 16 yaliyopita views Mil 1 hadi sasa (Saa 5 mchana tar 19-08).
Hizo views Mil 1 vijana wa WCB Mbosso na Rayvanny wametumia week nzima...
NGUVU YA MUZIKI
Kila mikimtazama binti yangu Darina akijaribu kumumunya maneno na kucheza kwa hisia kila akiskia nyimbo anayoipenda ama kuifahamu kuipitia simu ya mama yake au radio au hata...
Habari wana burudani wa zilipendwa,
Kuna nyimbo mbili natafuta Audio zake au jina la wimbo
1. Hii nyimbo siijui "title" yake lakini inaimba:
" Kama wanipeenda, twende kwa baaba,
Akishakuonaa...
Nakwea Bila ngazi
Maskini huchechemea Bila vazi
Nchi wanaichezea kila dansi
Huku tukitizama wanavyojimegea ardhi
Wamezindikwa na mganga
Hii Siri Ni Kali nagubikwa na utata
Mtanza kajibanza chocho...
Nasikiliza kipindi cha Amplifier top10 countdown kinachorushwa hewani na redio ya watu Clouds FM na nimegundua kimepoteza kabisa taste yake, mvuto na burudani iliyokuwa inatolewa kipindi cha nyuma...
Lissa Lyrics by Rapcha
Tongwe Records baby Bin Laded
Saa sita mchana jua la utosi Chuo boom! limetema Nimekaa kiboss Ata presha ya msosi sina Somebody is calling… Oh kumbe Lissa Nimemsave Love...
Huyu mwana dada ananikosha sana kwa enzi zangu huyu ndo staring wa kike ninaye mkubali ni staring yupi unaye mkubali kpnd cha vhs Angalizo kwa wale vijana walozaliwa kipindi cha cd wasikoment...
War Horse 2011
Farasi wa Vita.
Hichi kisa cha War Horse
1912 Devon, England jamaa-Ted ananunua Farasi mnadani kwa mkwara anamu-outbid mwenye nyumba wake, watu wote wanamshangaa mbona Farasi sio...
Ee bwana unifadhili-by Aloyce Goden
Huu wimbo una fikirisha na kunibariki sana.
Hongereni sana wanakwaya wote mliohusika katika wimbo huu.
Kweli mliutendea haki, Mungu awabariki sana ni wimbo...
Katika mazingira ya kitanzania ni ngumu sana kukua kwa kufurahia maisha kwa kula unachokipenda kukaa sehemu nzuri; kuvaa vizuri; kukutana na watu smart yaani mtu mpaka anakuwa mtu mzima anakuwa na...
Kama ni mpenzi wa documentaries share nasi baadhi kati ya ulizoangalia. Itapendeza ukitueleza kidogo inahusu nini. Mimi naanza na darwins niightmares.
Hii imetengenezewa Mwanza Tanzania na...
Wakuu wale wapenda Hip Hop ngumu za asili mtu mzima Nas Escober ameachia album yake Kings Disease II
Mwaka jana aliachia KD1 na ikafanya poa ikampatia Grammy Award kama album bora ya hip hop...
Wakuu ninaomba anayejua huu wimbo aniambie, unapigwa sana kwenye kipindi cha Salaam cha Voice of America kama kibwagizo.
Una mahadhi ya Caribian huko.
Unaanza na dancee dancee
Naomba anaeujua...
Kwa ufupi huko zamani enzi za uzee wangu sikuwa kabisa mpenzi wala mtu wa mziki kabisa. Lakini mwaka 2009 au 2011 hivi ndipo nilipoanza kufuatilia na kuupenda mziki lakini, hayo yote yalikuja...
Wakuu
Hivi ndio wamecopy kwa wazungu ama wingi wa makaburu umechangi? Yaani kila tamthilia ya kisauzi utakayoingalia lazima wachomekee au kuweka character ya shoga mmoja
Mbona kama wanahamasisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.