Mwigulu anawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzani. Wale mnaokwenda Burundi msisahau kumsalimia Ndaishimiye.

View attachment 1861386
Kuna hawa 3 hapa chini - yeyote akija kupewa nchi tutakuja kukiona cha mtema kuni kuliko hata kile cha Magufuli....hata Ndugai ni cha mtoto nawaambieni:

1. Mwigulu
2. January
3. Nape

Msijesema hatukuwaambia enyi Watanzania!
 
Mwigulu anawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzani. Wale mnaokwenda Burundi msisahau kumsalimia Ndaishimiye.

View attachment 1861386

Kijana huyo toka awe waziri wa mkwanja kawa na kiburi balaa.

Hiyo sio kejeli na dharau kwa waTz tu bali hata Kwa Burundi pia.

Ukisha kuwa Waziri mtu anabeba dhamana ya nchi hivyo kuropoka hovyo bila tafakuri katika media kama mtu yupo Bar ni ishara kwamba koti la dhamana ya Uwaziri linampwaya.
 
IMG_9998.JPG
 
Frankly speaking, Mwigulu hana hata siffa ya kuwa hata Mwenyekiti wa Kijiji. Kwanza ametenda uhalifu mkubwa sana wa Kibinadamu jimboni kwake ananuka damu za watu ndio maaana kukataliwa kunamwandama daima. Pili hana haiba ya Uongozi kutokana na Lugha/Kauli zake za mwaka 1840 hukoo. Kijana Fuuuulish kabisa
 
inasemekana kishaanza kununua wenye njaa
 
Back
Top Bottom