Uzi maalum kwa wale tunaopenda miziki ya miondoko ya Rock Heavy Metal

Boeing 757

JF-Expert Member
May 18, 2020
292
1,000
Binafsi hawa ni ma legends ninaowakubali
1. Avenged sevenfold
2. Death punch
3. Nickeblack.

Haya nawewe tupiamo hapa ngoma ya heavy metal ili tupate na experience na pia ni mwanamuziki gani unamu admire wa hizi ngoma za rock heavy metal
 
isajorsergio

Platinum Member
Apr 22, 2018
2,928
2,000
Brantley Gilbert ni moja ya mwanamuziki wa rock aliye bora kwangu.

Kupitia Bottoms Up, More Than Mile's na You Don't Know Her Like I Do kuna tafakuri utapata.

Carlos Santana kupitia wimbo kama Pires Par Um Jeito aliyowashirikisha Nickelback, late Avicii na Wyclef Jean walifanikiwa kutengeneza radha tofauti.
 
Boeing 757

JF-Expert Member
May 18, 2020
292
1,000
Brantley Gilbert ni moja ya mwanamuziki wa rock aliye bora kwangu.

Kupitia Bottoms Up, More Than Mile's na You Don't Know Her Like I Do kuna tafakuri utapata.

Carlos Santana kupitia wimbo kama Pires Par Um Jeito aliyowashirikisha Nickelback, late Avicii na Wyclef Jean walifanikiwa kutengeneza radha tofauti.
safi sana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom