Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Donnie yen tena ndani ya nyumba jamaa kacheza kama afisa polisi afande bong huyu mwamba akicheza uhusika wa polisi anakiwashaga kweli na humu kakiwasha kweli hii movie imejaa...
4 Reactions
4 Replies
921 Views
Mwaka huu imetimia miaka 17 tangu tumpoteze gwiji wa muziki mnamo mwaka 2004 na kuzikwa makaburi ya kinondoni. Nataka tujadili uwezo na mchango wa Ndala Kasheba kwenye muziki wa Tanzania. Kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Leo nimekumbuka nimetokea kukumbuka miaka sana nyuma. Kuna hizi katuni za Walt Disney zilikuwa na nyimbo ambazo zilitungwa kwa umahiri wa hali ya juu na kuimbwa na wanamuziki wakubwa. Kuna...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Wakuu huyu mdogo wangu anakipaji cha Kimarekani afanyeje aweze kuingia U.S. kuimba Muziki wa namna hii. Kama una marafiki ni producers huko US, au American Got Talent, au Wasanii wakubwa US...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Ikiwa imepita miezi kadhaa baada ya kuachia album yake ya sound from Africa, usiku wa tarehe 28 Oct rayvanny ameamua kuachia EP yake ikiwa na jumla ya nyimbo 6 na dikika 19 za kusikiliza, mimi...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
wakubwa salaam, nimesikia tetesi za kwamba msanii maarufu bongo ma east afrika Diamond alifukuzwa kwenye harusi ya msanii anayeunda kundi la p-square, paulo huko nigeria, eti ni ukwel? na kama ni...
1 Reactions
30 Replies
7K Views
Habari wakuu, Niwaambie ukweli leo mi huwa sijui kucheza kabisa niwapo club, sasa wakati ule wale ma broman na masister du wanaoujuaga kucheza kwaito walivyokuwa wakijishaua kila ikipigwa kwaito...
5 Reactions
8 Replies
2K Views
Majuzi kuna wasanii wawili wa sanaa ya muziki wa singeli waliamka na akili za utotoni na kuzua taharuki mitandao. Huwa sina utaratibu wa kusifia kilicho kibovu na ikitokea nimesifia msanii kuwa...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Nisiwachoshe. Sikilizeni alichoimba Ney wa Mitego. Nafikiri ndio msanii pekee aliyeonyesha kutetea anayoamini kwa muda wote. Unaweza ongeza lolote kuhusu Ney kama unalo.
2 Reactions
2 Replies
3K Views
huyu mkongwe mwenye sauti tamu na nyororo ningebahatika kuonana nae ningemwambie nyimbo zako zinaniliwaza sana atakama niachwa [emoji28][emoji28] then ningeubusu mkono wake huyu celine namwelewa...
7 Reactions
25 Replies
2K Views
Breaking News: Majina ya mastaa mbalimbali yametajwa kuwania tuzo za #MtvEma2021 ambazo zitafanyika nchini Hungury mwishoni mwa 2021. Kwenye orodha hiyo staa wa muziki kutoka Tanzania...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Ikiwa ni majira ya usiku na kuisindikiza weekend yangu leo nimeanza kutazama series ya Sleepy Hollow iliyokuwa 'produced' na Fox. Kongole za kutosha ziwaendee waandishi wa series hii ambao ni...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kuna hii tabia ya RESERVED, unaingia kula bata unakutana na meza 5 zote Reserved na hakuna pa kukaa, huu ni ubaguzi kwa sisi wateja wenu, ipo siku tutawaachieni na hao watu wenu. Tafuteni mbinu...
10 Reactions
83 Replies
6K Views
Leo ndio nimejua sijui. Kiukweli sikuwahi kuwaza kama huu wimbo ni wa dini. Na nmedata zaidi niliposoma comments za watu kwamba huu wimbo Congo unapigwa makanisani sana. Wakati huku kwetu...
1 Reactions
10 Replies
7K Views
MTUNZI: KULWA MWAIBALE MWANZO Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 25 ambaye ni yatima niliyezaliwa peke yangu kwa wazazi wangu ambao sikubahatika kuwaona, kwa sasa naishi jijini Dar es...
5 Reactions
25 Replies
11K Views
Yaani ni hivyo tu jamani, hakuna kitu kinakera (hata kama huziangalii) kama hizi filamu za bongo. Nahisi kabisa kuwa wanatuaibisha hata nje ya nchi (kwa mataifa jirani wanao angalia kazi zao)...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Maneno yake ya Ubeti wa Kwanza kutoka Kwake Msaga Sumu. " Nina hamu ya Nyumba ya Kupanga " Kisha Mwanamke aliyemshirikisha anamjbu Msaga Sumu. " Nyumba yangu ina Vyumba viwili tu je, unataka...
3 Reactions
36 Replies
4K Views
Yeyote mwenye nyimbo original za cosmas chidumule za "libarikiwe neno hili" na "ya nini mizigo hiyo" naomba anisaidie whatsapp no 0717297545 Kwa upendo wa kristo.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hata baadhi ya watu wakitaka kutunyamazisha basi mawe yataongea. Wasanii wametoa wimbo wa Mbowe siyo Gaidi. Wacha tuusikilize ndugu wazaleeendo wenzetu.
41 Reactions
142 Replies
10K Views
Introduction Five decades of dramatic social change and monumental shifts in the traditional family have created a breed of men who have been conditioned to seek the approval of others. I call...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Back
Top Bottom