Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Sio wimbo wa kuchosha kusikiliza. Wimbo unaoendana na matendo ya binadamu kila iitwapo leo. Dunia uwanja wa vurugu. Jamaa alikuwa komoa sana hakuna mfano. R.i.p Legend. Tutakukumbuka katika kazi...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimejaribu kufatlia song la essence la kid limekua kubwa sana hadi global nkashawishika kuwashauri NDGU zetu wajaribu kutupia Kwa English wenda wakatoboa KIMATAIFA mana kiukwel KIMATAIFA bado sana...
0 Reactions
8 Replies
738 Views
Naomba kuwasilisha[emoji120]
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mambo vipi? Kuna wimbo nautafuta mpaka leo sijajua ni nani ila ulikuwa unapendwa kupigwa sana TBC kipindi cha jioni cha miziki, alieimba ni mdada sijui jina lake, anamwimbia jamaa kwamba, "...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Wakuu, natumai hamjambo! Kati ya wasanii tajwa hapo juu[emoji115], nani unamkubali kwenye upande wa Rhumba??
1 Reactions
105 Replies
14K Views
MZIKI ULINIAJILI... NI KAMA LUCK DUBE ALITABILI CORONA (ALIVAA BARAKOA KWENYE WIMBO WAKE WA THE WAY IT SI)... NA KUKATALIWA NA WAZUNGU. Je, Generation yake inatabili janga gani la Dunia?
1 Reactions
5 Replies
1K Views
"Can You Still Trust Anybody to be Good After Everything You've Been Through?" Binafsi siwezi, kwa umri niliofikia na kutembelea sehemu na maofisi mbalimbali, nikijumlisha na life la mtaani...
14 Reactions
158 Replies
12K Views
Kwa anayemfahamu huyu binti ana UMRI gani? Tumuoe tunamiliki GOROFA NA VOGI? SASA TUSHINDANE KWA UTAMADUNI - Mbinu za kupata RAIS BORA WA TANZANIA WAJAO
0 Reactions
10 Replies
2K Views
DStv Wana channel inaitwa Nat Geo, wana kipindi kinaitwa Banged-up Abroad. Kipindi kizuri Sana kinahusu watu waliokamatwa nje ya nchi kwa makosa kama madawa au kutekwa na waasi. Real life...
9 Reactions
38 Replies
3K Views
hii nyimbo ya Phil collins- do you remember kiukweli kama umemipitia kwenye mapenzi na uliyempenda,ulitaka kuwa chaguo lako,kulingana na maisha ya hapa na pale. Nitawarudisha nyuma lyrics We...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Ile beat inayotumika kwenye kipindi cha Njiapanda Clouds FM wimbo wake unaitwaje?
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Hivi kwa nn siku hizi tukienda disco haipigwagi blues? Ukute ulienda peke yako bila mupenzi halafu muda wa blues ufike [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utaona mtu anazunguka kona...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari za Usiku Wana Jamii Forums. Ninae Rafiki, Msichana, mwanachuo Wa DIT. Anakipaji Kikubwa sana cha Mziki yaani Anaimba Dunia ya Mwisho Nimeambatanisha Audio Aliyoimba Akifanya kama Cover...
4 Reactions
48 Replies
4K Views
Katika dunia ya sasa, views ni kipengere mojawapo muhimu sana cha kuitrendisha sanaa ya nchi fulani katika uso wa dunia. Hali imekua tete baada ya mabando kupanda bei saizi youtube watu...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari Wadau! Hi track inasemekana imetoka jana nimeicheki You tube kupitia shared you tube link ya globalpublishers.co.tz mistari yake imenifikirisha na bado inaendelea kunifikirisha. Sijui...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimebahatika kuziangalia hizi zote, kitu cha kwanza kabisa, hazifanani, ni muvi tofauti ila ukija kwenyr uandishi, huyu aliyeandika hii Squid Game, ameiandika kiuandishi kabisa. Muvi A: Series ya...
14 Reactions
55 Replies
8K Views
Hii Ndio List Ya Wasanii Waliotazamwa Zaidi Katika Mtandao Wa Youtube Kwa Mwezi Wa Kumi Kwa Mujibu Wa @chartdatatz 1. Diamond Platnumz - 33.6M 2. Rayvanny 20.9M 3. Alikiba 13.6M 4. Harmonize...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Ni wazo tu, Wasanii wengi wameshatangulia mbele ya haki! Hawa waliobaki wangejiunda wakafanya tamasha la kuwakumbuka/kuwaenzi kwa kazi zao. Pesa itakayopatikana isaidie familia zenye uhitaji za...
0 Reactions
0 Replies
874 Views
Wakuu sijawahi kutazama hizo series, na hapa sasa hivi ninazo zote mbili, naombeni ushauri wenu nianze na series ipi?
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Back
Top Bottom