No time to die...chuma kimeachiwa

No time to die...chuma kimeachiwa

Nilivyoona Title ya Hii uzi nkabet kuwa utakuwa wewe umeanzisha maana mostly ya kila kinachokuja kichwan ww unaandika uzi[emoji23]
 
Bhangosha....!!

Ulikuwa waapiiii....!!!!??

Nilikutafuta nikupitie twendege tukaangalie sikukuonapo iiigghhhh....!!

Ukuye nikusimulie huku unanifumua nywele...!😜.

Hahah...

Ngoja nikutafute Kasinde, kombolela imenishinda...
 
Hahah...

Ngoja nikutafute Kasinde, kombolela imenishinda...

Aahahahahahaa umenikumbusha kidali poo na kombolela....

Sugar ukija hunioni..... 🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️ Halafu nakimbia mbio kujificha 🤣.
 
Aahahahahahaa umenikumbusha kidali poo nankombolela....

Sugar unlike hunioni..... 🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️ Halafu nakimbia mbio kujificha 🤣.

Dah!

Zamani kwenye mapagala tulikuwa tunacheza kombolela hiyo 2.0, mnabadilishana nguo kumchanganya yule anayezinga...

Basi unaenda butua lile kopo, pira la kuzinga huku yeye kashakosea kusema kombolela fulani...unawaokoa wenzako
 
Nishawahi kulia hadi kamasi kisa nazinga mara 4 watu wanaokoana tuu na mimi nataka kujificha...!😆😆😆.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom