Wazoefu wa mambo ya kuchezesha games, mtaani naomba msaada

Harrykany

JF-Expert Member
May 10, 2019
615
662
Nafikilia kufungua pes game ya mtaani, vitu gani niandae kwa jili ya kuanzia sina mtaji mkubwa, naomba mwenye uzoefu anishauri nitumie nini hasa au pc za ukubwa upi ili niwe na mwanzo wenye uangalau, na PC izo nataka nitafute mtaani, sio shop, coz Huku kwetu wanapenda PES so FIFA
 
Kipindi namaliza masomo nishawahi kufanya hizi biashara ni nzuri ila zinahitaji usimamizi sana
 
Mkuu sijajua mtaji wako ila Ps 4 ndo sinapendwa zaidi ila ukimix na 3 sio mbaya

Kuna jamaa mmoja mzenji anaziletaga kwa bei chee nimepoteza no zake nikizipata ntakuunganisha nae
 
biashara ya kuchezesha games kama ps4 or ps3 changamoto ni pad kuharibika maana wabongo kitu kidogo minguvu kibao simamia mwenyewe
 
Back
Top Bottom