Hivi inakuwaje wimbo wa ''Bia Tamu'' izidi nyimbo za akina Fid Q?

Ruyama

JF-Expert Member
Sep 6, 2019
367
561
Nawalaumu ma DJ, nakumbuka 2005 hadi 2009 bongo hip hop ilikuwa juu ma dj wali support mnoo,karibia radio zote walikuwa wanapiga hip hop conscious.

Pongezi kwa Uncle Sam (RFA) ilikuwa kila ijumaa weekend fever alikuwa anatwanga hip hop za maana, Sheza (Hip hop base EATV), Saigon (Hip hop base EATV) Adamomvu (clouds) Dee 7(kiss fm), sasa hivi nyimbo ambazo hazina maana ndio zinapewa air times. I wish ma dj waanze ku promote hip hop tupate madini
 
Marekebisho, anaitwa SHEIZA alikuwa presenter wa EATV kuanzisha kipindi cha hip hop base baadae akaja Saigon mzee wa ooi ooi.

I wish watangazaji wa redio na TV warudishe hip hop, Adam Mchomvu alikuwa na kipindi So So fresh alikuwa ana promote sasa hivi hayupo na hip hop RIP
 
Bro unafananisha vitu tofauti, hip hop ni utamaduni na ina watu wake siyo ya kila mtu.

"inahitaji akili na ufahamu,elimu ya mtaani, kujituma pia nidhamu"- Professor Jay

Ukiwa sio mchanganuzi wa tenzi huwezi kuelewa hip hop.

Hip hop ndio first born wa bongoflavour halafu wakaja hawa.

Kula weekend sikiliza magoma yako

Nakupenda sana hiphop- Roho saba
Bongo hip- Fid Q
Maneno- Nash MC
Tathmini- Professor Jay ft Jay Mo

Ukimaliza utaona umeikosea sana kujaribu kuishindanisha na Wimbo wa Bia Tamu.
 
Labda nikuulize kabla ya kuijadili mada, unaujua 'utamu' wa bia? Je ile brotherhood vibe ya kwenye vikao vya bia inafahamu feeling yake?

Then imagine uko home umechill watoto wanacheza 'game' na wife yuko jikoni akisaidiana na 'dada' huku wewe ulipata moja moja na wife anakuwa anapitia kuona kama akuongeze nyingine au la.

Nimalize tu kwa kusema BIA TAMU.
 
Bro unafananisha vitu tofauti, hip hop ni utamaduni na ina watu wake siyo ya kila mtu,

"inahitaji akili na ufahamu,elimu ya mtaani, kujituma pia nidhamu"- Professor Jay

Ukiwa sio mchanganuzi wa tenzi huwezi kuelewa hip hop.

Hip hop ndio first born wa bongoflavour halafu wakaja hawa...

Kula weekend sikiliza magoma yako

Nakupenda sana hiphop- Roho saba
Bongo hip- Fid Q
Maneno- Nash MC
Tathmini- Professor Jay ft Jay Mo

Ukimaliza utaona umeikosea sana kujaribu kuishindanisha na Wimbo wa Bia Tamu.
Gonga tano
 
Hiyo ni kawaida toka enzi hizoo waimbaji walibamba zaidi ya wa hip hop

Isipokua media nazo zimeanza kuipa kuchogo Hip Hop
Haipewi nafasi tena kwenye media kama vipindi vya miziki mingine

EA wameebakiza kasehemu kadogo tu dk10 za maangamizi
Adam Mchonvu naye ghafla tu kaondolewa So so fresh

Sasa hivi kuna vipindi vya Bongofleva, taarabu, kwaya, mchiriku, dansi lakini sio hip hop

Namiss sana Saigon aisee
 
Ooi ooi
 
Back
Top Bottom