Rumba ni mziki pendwa Afrika nzima

Rumba ni mziki pendwa Afrika nzima

mtu bati

Senior Member
Joined
Mar 29, 2021
Posts
117
Reaction score
129
Kwa wale wapenzi wa rumba. Mimi pia ni mpenzi wa rumba. Natafuta sana zile classics za rumba za Congo. Kama unafahamu classics za rumba tupia hapa twende sawa.

Mambo ya madiluu, Franco, Tshala muana na wengine wengi. Nazitafuta sana maana huwa zinaniliwaza mno.
 
Fally maria PM
 
Back
Top Bottom