King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 62,694
- 94,654
kuna mstari kwenye wimbo wa fidq na Juma Nature unaitwa Siri ya mchezo anasema "Usishangae kumuona Martin Kadinda" hilo neno lenye red halileti maana nzuri kusikika kwa hewa ingawa ni Surname ya Martin kwa kitaa ambao wengi hawamjui Martin inawajengea picha mbaya basata tunaomba muwaandikie barua vituo vya redio wa-omit ilo neno liwe "Usishangae ukimuona Martin" bhaaassiii Ni Hayo Tu.