Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

https://www.tanzaniaweb.com/TanzaniaHomePage/NewsArchive/Msanii-Vitali-Maembe-Adaiwa-Kukamatwa-na-Polisi-567823
6 Reactions
11 Replies
3K Views
Shang-chi The Legend of The Ten rings Ni movie ya kwanza ya Marvel kuwa na Leading asian character ukiachana na sisi weusi tulianza na Late Chadwick’s Black panther. Movie hii inafanya vizuri...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari zenu wapendwa natumai muwazima wa afya kabisaa, mdogo wenu me sijambo. Kama kichwa cha THREAD kinavyosema hapo juu nilikuwa naomba kujuzwa kuhusu Wasafi FM maana mimi bado mgen na hii...
0 Reactions
7 Replies
9K Views
Wimbo wa Gere ulikuwa Trend no. 1 juzi yu, na then umekuwa replaced no. 1 na Jeje Jeje kuwa no. 1 kwa popularity na power ya Diamond haina la kushangaza Ila iweje Gere umepotea kabisa? Ungekuwa...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Hatimaye baada ya kuisubiri kwa hamu Filamu ya no time die Imeachiwa kwenye baadhi ya website kama pirate bay ila wale wanangu ambao bando kipengele twendeni Netnaija.movie then scroll down u...
5 Reactions
36 Replies
6K Views
Huyu mwamba napenda namna ya uigizaji wake jamaa serious martial art kabisa in life hata MMA Wanamuelewa huyu mnig movie hazinaga romatinc huyu mwamba ni yeye na kipondo full action yaani NI...
9 Reactions
41 Replies
6K Views
TRAILERS 1.https://www.youtube.com/watch?v=mKh5mtnQO9I 2.https://www.youtube.com/watch?v=BIhNsAtPbPI James Bond Movie No Time to Die will be released on sept 30th,2021. The Movie will mark the End...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Waandaaji wa tuzo kubwa za @mtvema kwa mwaka 2021 ,Wametangaza rasmi kuwa wiki hii mwanamuziki maarufu kutoka colombia [emoji1075] 'Juan Luis Londoño Arias maarufu kama maluma ataachia wimbo mpya...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Nawalaumu ma DJ, nakumbuka 2005 hadi 2009 bongo hip hop ilikuwa juu ma dj wali support mnoo,karibia radio zote walikuwa wanapiga hip hop conscious. Pongezi kwa Uncle Sam (RFA) ilikuwa kila ijumaa...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Nafikilia kufungua pes game ya mtaani, vitu gani niandae kwa jili ya kuanzia sina mtaji mkubwa, naomba mwenye uzoefu anishauri nitumie nini hasa au pc za ukubwa upi ili niwe na mwanzo wenye...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
kuna mstari kwenye wimbo wa fidq na Juma Nature unaitwa Siri ya mchezo anasema "Usishangae kumuona Martin Kadinda" hilo neno lenye red halileti maana nzuri kusikika kwa hewa ingawa ni Surname ya...
1 Reactions
27 Replies
7K Views
Nawashauri hawa majaji wajaribu kuwa fair kidogo kwa hawa washiriki ,binafsi nachukizwa sana na kumkatisha mshirika tamaa wakati akiwa ameimba mstari mmoja tuu wa walochotaka kuimba Kiukweli...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna movie ya kibongo iitwayo MANENO YA KUAMBIWA ambayo inaonyesha mtunzi wake ni Kitale, ina kasoro kibao. Kasoro kubwa ni kupotosha na kudumaza akili za watu weusi kuwa kila tatizo linaweza...
5 Reactions
30 Replies
5K Views
ONE SHOT : imechezwa na mtalaam scort adkins ya mwaka huu 2021 SANAK 2021 (hindi) imechezwa na mkali wa stunt Vidyut jamwali ukiachana na tiger scroph huyu mwamba ni balaa nenda uone jamaa...
3 Reactions
0 Replies
654 Views
Ukodishaji wa nyumba kwa filamu una faida kubwa katika nchi ambazo sanaa ya filamu imesimama vizuri. Afrika ya Kusini, Ghana na Nigeria wenye nyumba huwa wana faidika katika biashara hii. Uzuri...
6 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari wakuu, Najua kuna watu wamejtoa kabsa kufatilia Bongo Movie lakini embu tujadili kidogo mana hakuna namna mtoto hata akiwa taira huwezi msusa. Nimejaribu kukaa kuwaza kwanini Bongo Movie...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuhusu mwimbo huu kiufupi. Elimu hata kuhesabu kuligunduliwa na Mwafrika mweusi, hata chuo kikuu cha kwanza duniani kilikuwa Mali, na Wayahudi wa kweli walioandika Biblia hasa agano la kale...
0 Reactions
0 Replies
729 Views
Niaje wakuuu hii ni kwa niaba ya wale wote wanaopenda mziki wa Amapiano drop ngoma yako unayoikubali yoyote ya Amapiano felo le tee ft Myztro
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Even some haters shall still complaining against him, but the truth is no one the best like him at this moment...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Sio wimbo wa kuchosha kusikiliza. Wimbo unaoendana na matendo ya binadamu kila iitwapo leo. Dunia uwanja wa vurugu. Jamaa alikuwa komoa sana hakuna mfano. R.i.p Legend. Tutakukumbuka katika kazi...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom