Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Daah jana pamenuka Instagram team domo walipaniki kinoma baada ya sepetunga kumpa shot out king kiba akiwasihi watu waende escape moko ili wakajionee tofauti ya mwanamziki ma msanii na kati live...
0 Reactions
50 Replies
9K Views
Wakuu Harmonize ni msanii chipukiz ambaye nimetokea kumuelewa sana hivi karibuni na kibao chake "Aiyola", Lakini tatizo huwa najisikia huzuni jinsi huyu kijana anavyotumiwa vibaya na Mondy...
0 Reactions
80 Replies
34K Views
MOYONI nina majonzi, sina tofauti na mpofu! Judith Wambura Mbibo Jide au Lady Jaydee kwa sasa hana makazi maalum Bongo, amehamishia makazi na shughuli zake katika ardhi ya Kansela wa Ujerumani...
1 Reactions
43 Replies
10K Views
wakuu kiukweli MZEE MCHOPU kwa umri wangu huu nimetokea kuupenda huu wimbo wenye ladha ya kimagharibi lakin ukajikuta upo TANZANIA ila kale kamdundo kake loo salalaa! Mtayarishaji yule ni mjanja...
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Wadau, Nikiwa napitia maswala ya burudani nikapata habari kua Diamond ametoa single mpya ya UTANIPENDA??. Nikaona na kusikia ikipewa shavu kubwa tu kua ni single kali (??) na ita-hit sana redioni...
3 Reactions
61 Replies
16K Views
Habari wadau, Sijapendezwa na Tambo za Huyu masanja makandamizaji,japo Mungu amamempa nyumba kadhaa,magari kadhaa na mashamba ya mpunga,asijione ndio maisha kayapatia,Kuna watu walikuwa na pesa...
1 Reactions
65 Replies
21K Views
Huu ni upuuzi uliopitiliza wakati watu wakitafuta mahala pa kwenda kula bata usiku wa christmas maeneo ya Korogwe kumetokea tukio la kuudhi na kukera kwenye ukumbi ujulikanao kama Mamba club...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna habari kwamba mwanamuziki Diamond kashindwa gharama za kumtunza dada bilionea Zari,na amekuwa akilalamika chini kwa chini kwamba akaunti yake sasa inakauka, ni wazi kwamba penzi lao liko...
4 Reactions
78 Replies
18K Views
Tu wazima fans' Wa team no stress. Wale Wa kwa Showz ya Leo ndani ya mjengo DAR LIVE-TONIGHT.Tutakuwa na DIAMOND P. Utacomment kinachoendelea umo ndani kwa Whitehouse DARLIVEBABY. Now...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Hatimaye mchekeshaji maarufu Africa mashariki Eric Omondi ameachia Video yake alio ifanyia remix nyimbo ya Diamondplatnumz kaimba kwa dakika mbili na sekunde kama 39 hivi lakini nimependa...
0 Reactions
14 Replies
8K Views
Miss Philippines Pia Alonzo Wurtzbach akionyesha mshituko baada ya kutangazwa kuwa ni yeye ndiye ameshinda. Miss Universe2015 imezua kituko cha Mwaka baada ya Mc Steve Harvey kumtangaza kutoka...
0 Reactions
42 Replies
8K Views
Jamaa naona kaenda kuwaambia wapiga kura waliomnyima Ubunge kwamba hakuwa na shida ya pesa ila uwakilishi... Ila wachagga wabishi sana, huyu jamaa angekuwa anagombea Mtimbwilimbwi angepita kwa...
1 Reactions
63 Replies
23K Views
Kati ya nagharamia kutoka kwa king zamunda na mkali wa masauti Bella, na hii utanipenda kutoka kwa king of jungle aka simba mondi ipi ni habari ya mjini
1 Reactions
57 Replies
11K Views
Tarehe 26 vepee..king Kiba Vepee Yani i can't wait..tukutane escape ka Vepee Kwani we vepee😂😂😂😂😂
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Kwa wapenzi wa muziki, tukiweka figisu figisu pembeni. Kwa moyo mkunjufu kabisa napenda kumpa pongezi Ally Kiba kwani kwa kiasi fulani amajitahidi kujibu lawama kwa vitendo kwenye hii video...
3 Reactions
128 Replies
15K Views
Fasihi ni kazi ya sanaa inayotumia lugha kufikisha ujumbe kwa jamii.Kuna fasihi andishi na fasihi simulizi.Nyimbo ni sehemu ya fasihi simulizi.Fasihi ni zao la jamii,kwa sababu hujadili mambo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
leo ni birthday ya tudy naona mastaa wengi wanamuwishi kua hbd shem lake anayemjua atupe ubuyu na sisi Xmass ii tule vzr
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Tokea wimbo umewekwa youtube umefikisha views milioni moja baada ya wiki moja huyu mtu ameshindikana kabisa Diamond Platnumz - Utanipenda (Lyric with English?: http://youtu.be/LSk_M7d_OWM
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Mwaka 2016 ni mwaka wa mafanikio kwa wasaniii hasa wa muziki kimapato kwa nyimbo zao mbalimbali kuanza kufaidika nazo Je wasanii wa sanaa nyingine watafaidikaje ? Lakini mwaka 2015 unaisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika kipindi cha mkasi kilichoruka jana 21/12/2015 usiku Nilipigwa na mshangao wa kufa mtu pale muongoza kipindi Salama alipomuuliza Diva kama anaufahamu wimbo wa taifa akajibu kwa kifupi...
8 Reactions
121 Replies
21K Views
Back
Top Bottom