Leo nmesabai acc ya sporahshow insta nkakuta kapost kua leo atakua na show na alikiba hivo watu wafunguke nn wanachotaka kumuliza kiba
Chakushangaza nmeona acc za fans wa kiba zikimtumbua majipu...
leo kwenye orodha ya wadaiwa sugu wa tanesco yupo staa wetu wema sepetu.deni ni tsh milioni 8.sijui imekuwaje mtu adaiwe kiasi chote hicho wakati sis hata deni la buku 2 wanakata umeme??
Kama umeiangalia hii video mpya ya huyu jamaa utakubaliana na Mimi.Hii video wadada wanacheza huku wamevaa vichupi Haifai kuangalia ukiwa either na wazee au watoto..
Rapa mwenye asili ya Tanzania Allan Kyariga maarufu kama Allan Kingdom Kwa mara ya atawania tuzo kubwa na zenye heshima ya kipekee duniani, Tuzo za Grammy. Allan Kingdom, mama yake ni mtanzania na...
Habari zenu wadau wa burudani,
Mwana Falsafa katoa wimbo mpya, jina "Asanteni kwa kuja". Ukisikiliza kwa haraka haraka ni ngumu kaelewa kaimba nini ana maana gani;
Je, anamwimbia mwanamke...
Lady Gaga wa Bongo, Faiza Ally ambaye amezaa na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi amefungukia ushindi wa mzazi mwenzake huyo na kudai kuwa haumsaidii chochote. Akizungumza juzi na Ijumaa...
Nimewahi kumsikia. Mwenye picha aweke basi tuone uumbaji..
==========
Unataka picha zake au video?! Nitakupa vyote.
Anza na picha;
Kisha video;
Picha zaidi? Zicheki hapa ==> Corazon -...
HATIMAYE kitendawili cha nani atakuwa mwandani wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto kabwe kimeteguliwa kufuatia mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila kuutangazia umma juu ya jambo hilo...
Kampuni ya Studio Space Pictures ya South Africa imepost picha ya ay na diomond wakionyesha wamefanya video ya zigo remix.
wameandika zigo remix AYTanzania x diamondplatnumz
Nilikuwa natazama Tv ya burudani hapa Tanzania. Kuna maelezo kuwa kwa sasa wanamuziki watakuwa wanalipwa mrahaba kwa kazi zao zinazochezwa redioni.
Lakini imeelezwa kuwa kuna kampuni anayoitwa...
Habari Wakuu
Ni Kama siku moja imepita tangu Msanii Nikki Wapili apost picha ya yeye akiwa na Wazari wa Habari utamaduni na Michezo,Mzee wa Goli La mkono Mh.Nape Nauye katika ukurasa wake wa...
Kama kawaida yetu, Diamond Platnumz na Vanessa Mdee wamechaguliwa kwenye tuzo za tooXclusive Awards 2015 VOTE, Kwenye kipengele cha AFRICAN ARTISTE OF THE YEAR.
Na kwenye kipengele cha OSCAR...
Staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu.
Ufisadi? Wakati soo lake la kubambwa na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) akidaiwa kuliibia umeme kwa figisufigisu za kimjini, staa wa sinema za...
Habari Wakuu
Ni Kama siku moja imepita tangu Msanii Nikki Wapili apost picha ya yeye akiwa na Wazari wa Habari utamaduni na Michezo,Mzee wa Goli La mkono Mh.Nape Nauye katika ukurasa wake wa...
Naomba kwanza nianze kwa kudeclare interest, Mimi ni fan wa Diamond!
Ni fan wa Diamond si kwa sababu huwa napenda mziki wake at first place, Big NOOOOO! Nimejikuta nakuwa fan wa huyu jamaa kwa...
Kama ikitibitika tiba zake ni batili hilo tangazo la Dr Mwaka kwenye wimbo wa diamond itakwaje,vyombo vya habari vitapigaje wimbo wenye tangazo batili?
Au diamond aedit/akate sehemu ya tangazo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.