AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,041
Wakuu Harmonize ni msanii chipukiz ambaye nimetokea kumuelewa sana hivi karibuni na kibao chake "Aiyola",
Lakini tatizo huwa najisikia huzuni jinsi huyu kijana anavyotumiwa vibaya na Mondy, sababu kafanywa kama shamba boy pale madale.
Hiyo tisa, ya kumi hii ni kiboko, kumtumilia vibaya harmonize kwenye matangazo ya namna hii ya boxer za kampuni yako wasafi, mi naona ni undhalilishaji na sio kingine, hata kama mtu unamsaidia lakin hii hapana,