Zumbe Kimweru
JF-Expert Member
- Jul 13, 2014
- 340
- 27
Mwaka 2016 ni mwaka wa mafanikio kwa wasaniii hasa wa muziki kimapato kwa nyimbo zao mbalimbali kuanza kufaidika nazo Je wasanii wa sanaa nyingine watafaidikaje ?
Lakini mwaka 2015 unaisha tukiona misingi ya HIPHOP ikivunjwa kuliko hapo awali,kwani walitokea watu wachache ambayo hapa naweza kuwaita nyumbu waliodai HIPHOP haipaswi kuwajali wavuja jasho kwasababu zama zimebadilika sasa tulijali soko.
Hizi ni akili za nyumbu badala kuwa wabunifu na utofauti ili soko liwafuate lakini hali ni tofauti ni wao na soko wanatoa nyimbo zinapotea, wanatoa nyimbo tena zinapotea .
Nirudi kwenye matukio kwa mwaka huu ( 2015) tumeshuhudia wizi wa beat,mashairi ,story za filamu nk
Tunaomba serikali kwa mwaka 2016 ni muda wa kushughulikia majizi ,wezi na mafisadi (watu) na ufisadi (mfumo) wa baadhi ya vituo kwenye muziki,filamu na sanaa zote kwa ujumla ;Hizi issue za patent rights zishughulikiwe kwa haraka ili majizi na ujizi wa kazi za sanaa wasipate fursa hii mwaka ujao
Jingine kwa waimbaji wa miondoko yote hasa wa kuimba ,mtujie na muziiki wenye asili ya hapa nyumbani bila hivyo mmekwisha , mtakuwa wachuuzi wa muziki wa watu
Stara Tomas ,ushauri kwako achana na muziki wa injiri huuwezi endelea na muziki wako wakawaida usilazimishe kwasababu huna tofauti na masanja ambaye ni mchungaji na Mwigizaji pengine hata mambo yanayopingana na uchungaji
WASALAMU
ZUMBE WA ZUMBE

- Ombi langu kwa wanamuziki na waimbaji wa hiphop 2016 mrudi kwenye misingi ( principles of Hiphop) msikimbilie soko , Fedha ni matokeo ya KAZI msijibaraguze mtapotea mapema