Kituko mashindano ya Miss Universe

platozoom

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
9,405
11,284
_87314613_hi030655829.jpg

Miss Philippines Pia Alonzo Wurtzbach akionyesha mshituko baada ya kutangazwa kuwa ni yeye ndiye ameshinda.


Miss Universe2015 imezua kituko cha Mwaka baada ya Mc Steve Harvey kumtangaza kutoka kwenye karatasi yake aliyopewa na majaji kimakosa Miss Colombia Ariadna Guitierrez kuwa ni mshindi wa 2015 Miss Universe badala ya Miss Philippines Pia Alonzo.

Tukio hilo lilidumu kwa dakika tatu kabla ya MC kurudi jukwaani na kuomba radhi kwa kumtangaza kimakosa Miss Colombia kuwa mshindi.

Ukitazama video baada ya MC kurudi jukwaani na kusema amekosea, Miss Colombia alidhani jamaa analeta utani na akatabasamu kidogo. Lakini jamaa aliposisitiza Miss Colombia alikosa raha, na Miss Philippines akiwa haamini kuwa ameshinda alirudi kupanda jukwaani akiwa na mashaka makubwa..

Chini ni habari hiyo iliyoandikwa na BBC

The host of the Miss Universe has apologised after mistakenly naming the wrong woman as winner, leaving Miss Colombia empty-handed.


After the error, Ariadna Gutierrez was instead declared runner-up and surrendered her crown to Miss Philippines, Pia Alonzo Wurtzbach.


#MissUniverse2015 became Twitter's biggest trend of the night as social media users expressed their disbelief.
Ms Wurtzbach has since told reporters that she wishes Ms Gutierrez well.
"I'm very sorry, I did not take the crown away from her and I wish her well in whatever she wants to pursue after this pageant," she said.


Ms Gutierrez also addressed fans in a backstage video that has been shared on the pageant's official page.
She said: "Everything happens for a reason so I'm happy for all that I did."


At the end of the night in Las Vegas, Ms Gutierrez was named first runner-up followed by Olivia Jordan from the
United States.



_87314356_hi030655862.jpg
 
Ila Miss Colombia ni mzuri zaidi

Steve Harvey amekuwa gumzo ...hii incident itabaki midomoni mwa watu wengi kwa mda mrefu
 
The good thing miss Colombia anaweza kujipatia deal nyingi kutokana na hii issue, na anaweza kua maarufu kuliko miss Philippines
 
Ila Miss Colombia ni mzuri zaidi

Steve Harvey amekuwa gumzo ...hii incident itabaki midomoni mwa watu wengi kwa mda mrefu

Ila ni kweli kabisa miss Colombia ni mzuri zaidi naunga mkono hoja japo napendaga sana movie za kiphilipino
 
Ila Miss Colombia ni mzuri zaidi

Steve Harvey amekuwa gumzo ...hii incident itabaki midomoni mwa watu wengi kwa mda mrefu

Steve alitamani kulia. Miss Colombia hatasahau hili tukio.
Lakini Steve pia alifanya kosa jingine, alichelewa sana kurudi jukwaani ili kuondoa sintofahamu mapema.
 
Ila Miss Colombia ni mzuri zaidi

Steve Harvey amekuwa gumzo ...hii incident itabaki midomoni mwa watu wengi kwa mda mrefu

Kwenye hiyo picha ni mzuri kuliko wa philipine lkn kiuhalisia wa philipine amemuacha mbali wa colombia ndio maana watu walishangilia sana matokeo yalipobatilishwa
 
The good thing miss Colombia anaweza kujipatia deal nyingi kutokana na hii issue, na anaweza kua maarufu kuliko miss Philippines
Leo hii watu washamtangazia dau la dola milioni moja kucheza porn movie moja Tu. Umakini autake ye mwenyewe Tu, yaani kaambiwa achague mwenyewe mwanaume wa kucheza nae
 
tofauti kati ya miss universe na miss world ni nini jaman?

Miss world washindani wanatoka hapa hapa duniani Tu lakini miss universe wengine wanatoka Jupiter, mars, Pluto, Neptune na sayari zote
 
Back
Top Bottom