Jide ahamia Ujerumani

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,422
MOYONI nina majonzi, sina tofauti na mpofu! Judith Wambura Mbibo Jide au Lady Jaydee kwa sasa hana makazi maalum Bongo, amehamishia makazi na shughuli zake katika ardhi ya Kansela wa Ujerumani, Angelina Merkel kwenye Jiji la Born.

Katika mazungumzo yake na mwandishi wetu kwa njia ya simu, Jumatatu ya wiki hii, Jide ambaye alidai kwa sasa yupo nchini kwa Sikukuu ya Krismasi (kesho), alisema sababu zilizomfanya akapige kambi nchini humo ni kuchoshwa na maneno ya watu ambao kazi zao ni kutazama nani kafikwa na baya ili waeneze sumu ya maneno.

Kwa sauti ya kibabe na yenye mamlaka, Jide alisema: Lakini ukiachana na Ujerumani, wakati mwingine natumia muda mwingi kuwa nchini Afrika Kusini (Sauzi) kwa mizunguko ya kimaisha na kupumzisha akili yangu.?

UJERUMANI ANA NYUMBA?

Jide: Kwa sasa naishi hotelini, lakini kuna marafiki na jamaa zangu ambao wako kule. Kwa hiyo sina shida. Muhimu ni kukaa mbali na maneno ya watu wafurahiao matatizo ya wengine.

Kila mtu anageuka adui, ukiwa na mafanikio makubwa, watu wanajisogeza karibu, ukipungukiwa na jambo, haohao wanaanza maneno na kukusema vibaya, maisha hayatabiriki.

HATAKI KUSIKIA MAPENZI!

Amani: Vipi kuhusu mumeo, Gardner Habash, una mpango wa kurejeana naye?

Jide: Sitaki kusikia kabisa mambo ya mapenzi. Sitaki na usiendelee kuuliza upuuzi kama huo tafadhali. Si tu kwa huyo mtu (Gardner), hata kwa awaye yeyote, sitaki kusikia.?

ASIULIZWE KUHUSU MALI ZAKE!

Amani lilimuuliza Jide kuhusu ukweli juu ya madai kwamba amefilisika na kufikia hatua ya baadhi ya nyumba zake kuwa katika hatihati ya kupigwa mnada.

Jide: Sitaki kugusia mambo hayo. Hata hivyo, umebahatika sana kupokelewa simu na kuzungumza na mimi, licha ya kuwa umejitambulisha unatoka Global. Sipendi mazungumzo na waandishi, hususan nyie wadaku.?

KUHUSU MUZIKI?

Jide: Siwezi kusema nimeacha muziki, nipo maana ndiyo kazi pekee iliyonitambulisha.Nawaasa mashabiki wangu waendelee kiniunga mkono, nawapenda sana na bila wao hakuna Jide. Lakini kwa sasa kuna mambo nayaweka sawa nje ya muziki.?

YUPO DAR AU KWINGINEKO?

Jide: Kwa sasa niko Dar (Jumatatu), lakini keshokutwa (jana Jumatano) nitakuwa nyumbani Musoma kwa ajili ya Krismasi. Niko kwenye mapumziko maalum ya sikukuu hiyo, lakini baada ya hapo, nitaendelea na mambo yangu mengine, ikiwemo kurejea Ujerumani.?
 
Last edited by a moderator:
Uamuzi wako kama unapata furaha vizuri.

Ila kwa maneno ya watu Diamond ndio alikuwa wakukimbia jiji maana yake yeye zaidi ya wasanii wote kufatiliwa na kuongeleqa uongo mwingi.

Jitahidi uwe na ugumu kama hautaki ya wananchi basi acha kuimba fanya mengine. Ila kama weye msanii na unataka ya wananchi kukusapoti haya funga mkanda kwa nguvu zako zote kuwa mgumu.
 
Diamond angeshakimbia we sema anayempenda (wema) yuko hapa TZ kwa hiyo kijana wa Tandale hawezi toroka. Nikirudi kwa huyo Jide ni kuwa kwa sasa ana mawazo sana hivyo watu wake wa karibu wajitahidi kumfariji. Maumivu ya kuachwa/kuacha/kuachana/kuachanishwa ni makali sana hayana mfano.
 
Sasa si ndo atazidi kuzeeka kwa stress yule bibi? Aimbe tena wanaume kama mabinti auze..dhambi ya upuuzi wake inamtafuna sasa..na bado
 
Uamuzi wako kama unapata furaha vizuri.

Ila kwa maneno ya watu Diamond ndio alikuwa wakukimbia jiji maana yake yeye zaidi ya wasanii wote kufatiliwa na kuongeleqa uongo mwingi.

Jitahidi uwe na ugumu kama hautaki ya wananchi basi acha kuimba fanya mengine. Ila kama weye msanii na unataka ya wananchi kukusapoti haya funga mkanda kwa nguvu zako zote kuwa mgumu.
Umesema kweli mzurimie kama kusemwa ndio ukimbie basi DIAMOND tungeshamsahau kabisa lakini yule kweli ni simba ana roho ngumu haswa na yupo anazidi kupambana.
 
Last edited by a moderator:
Diamond angeshakimbia we sema anayempenda (wema) yuko hapa TZ kwa hiyo kijana wa Tandale hawezi toroka. Nikirudi kwa huyo Jide ni kuwa kwa sasa ana mawazo sana hivyo watu wake wa karibu wajitahidi kumfariji. Maumivu ya kuachwa/kuacha/kuachana/kuachanishwa ni makali sana hayana mfano.

Wewe si ndio ulikuwa unashabikia anaibiwa nyota W na D, sasa leo nini tena tamaa tu ya pesa.

Pale D harudi, kakaeni tembeeni kote kujaribu kila kitu Zari ndio ameahakamata mwanaume.

Nahamu ya kukuzomea nashindwa. Ila mapenzi yao hadi raha Diamond na Zari, jamani na mahaba yao huko snap chat yaani uwiiiiiiiiiii toto la Kiganda mix kihindi mix nini tena nataka unikumbushe na nini tena.

Halafu Diamond anavyozimia uhindi uwiiiiii yaani. Halafu huyo unayetaka arudiwe hadi leo hajajijenga kuwa kama mke yeye kuiba wanaume wa watu na kudanganya na kutamani maisha asiyonayo ndio anajiona bata tena dada zake ndio umefika muda wamchukue aende kuishi nchi za nje labda na dada wa kufikia Mangerita atamsaidia kupata mzungu.

Halafu eeeh nilisahau lile bima vipi mwenye nalo akalichukua, na vepe kila bwana anasakiziwa kaingiza mimba....haya tukutane kule kwenye uzi ulioanzisha ni lupustiki sijui unazouza za yule kaka umemwaribia jiashara anajuta kutumia jina lako sijui kwa nini hakutumia hata la Wolper yulr anayejiheshimu yule aliyemtia donge W hadi anatamani kuwa karibu na D tena na kuzidi kuishi bila kulala wakati mbeba pochi na manija wote wanamsaidia kupata usingizi kwa kazi nyingi wanazomfanyia

Na nini tena haya twende kule, mwachie Jide na maisha yake anajitambua
 
Haswa

Tena kuitwa Simba ni bombaaaaa hakunaga Simba Simba oyeeeee

Vi klip vya show ya jana vinanimaliza huko insta
 
Last edited by a moderator:
Uamuzi wako kama unapata furaha vizuri.

Ila kwa maneno ya watu Diamond ndio alikuwa wakukimbia jiji maana yake yeye zaidi ya wasanii wote kufatiliwa na kuongeleqa uongo mwingi.

Jitahidi uwe na ugumu kama hautaki ya wananchi basi acha kuimba fanya mengine. Ila kama weye msanii na unataka ya wananchi kukusapoti haya funga mkanda kwa nguvu zako zote kuwa mgumu.

Kwa kauli inaonekana kweli mambo sio mazuri kidogo, ila hongera zake kwa kukimbilia ujerumani maana wengine wakifulia wanarudi vijijini
 
Diamond angeshakimbia we sema anayempenda (wema) yuko hapa TZ kwa hiyo kijana wa Tandale hawezi toroka. Nikirudi kwa huyo Jide ni kuwa kwa sasa ana mawazo sana hivyo watu wake wa karibu wajitahidi kumfariji. Maumivu ya kuachwa/kuacha/kuachana/kuachanishwa ni makali sana hayana mfano.

Yupo desperate sana kwa sasa, jide wa zamani sio jide huyu ndoa imemuaribia kila kitu
 
Wewe si ndio ulikuwa unashabikia anaibiwa nyota W na D, sasa leo nini tena tamaa tu ya pesa.

Pale D harudi, kakaeni tembeeni kote kujaribu kila kitu Zari ndio ameahakamata mwanaume.

Nahamu ya kukuzomea nashindwa. Ila mapenzi yao hadi raha Diamond na Zari, jamani na mahaba yao huko snap chat yaani uwiiiiiiiiiii toto la Kiganda mix kihindi mix nini tena nataka unikumbushe na nini tena.

Halafu Diamond anavyozimia uhindi uwiiiiii yaani. Halafu huyo unayetaka arudiwe hadi leo hajajijenga kuwa kama mke yeye kuiba wanaume wa watu na kudanganya na kutamani maisha asiyonayo ndio anajiona bata tena dada zake ndio umefika muda wamchukue aende kuishi nchi za nje labda na dada wa kufikia Mangerita atamsaidia kupata mzungu.

Halafu eeeh nilisahau lile bima vipi mwenye nalo akalichukua, na vepe kila bwana anasakiziwa kaingiza mimba....haya tukutane kule kwenye uzi ulioanzisha ni lupustiki sijui unazouza za yule kaka umemwaribia jiashara anajuta kutumia jina lako sijui kwa nini hakutumia hata la Wolper yulr anayejiheshimu yule aliyemtia donge W hadi anatamani kuwa karibu na D tena na kuzidi kuishi bila kulala wakati mbeba pochi na manija wote wanamsaidia kupata usingizi kwa kazi nyingi wanazomfanyia

Na nini tena haya twende kule, mwachie Jide na maisha yake anajitambua

Hivi binamu range la wema liko wapi? Jaman huyu mwanamke anapenda show off then hataki kufanya kazi mbwa huyu, yani mungu akisema amzibe uchi wake mbele na nyuma ataumbuka mjini sijui atafanyaje
 
Kwa kauli inaonekana kweli mambo sio mazuri kidogo, ila hongera zake kwa kukimbilia ujerumani maana wengine wakifulia wanarudi vijijini

Ni kweli kabisa ya kwenda kijijini. Lakini maisha ulaya nako inabidi labda atataguta kazi ya kujisapoti maana kutegemea watu nao inachoshaga wenyeji hawakawiii kuanza vituko vya hakugukuzae hakwambii toka...
 
Hivi binamu range la wema liko wapi? Jaman huyu mwanamke anapenda show off then hataki kufanya kazi mbwa huyu, yani mungu akisema amzibe uchi wake mbele na nyuma ataumbuka mjini sijui atafanyaje

Eeh Binamu watu wamesema lilichukuliwa usiku huo huonbaada ya kutambaa mitandaoni. Wanaomba reji ya pleti namba bado hawajapewa. Labda ndio anasaka pesa maana siku hizi snapchat anakula nje kila siku na akina Aunt Ezekiel nae naona mwanae hamuoni jioni na usiku akirudi kalala kama hata anarudi kwake. Mmmh
 
Back
Top Bottom