50Cent - 21 QUESTIONS, Mike Tee- JE UTANIPENDA& Diamond- UTANIPENDA?

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
29,455
29,134
Wadau,

Nikiwa napitia maswala ya burudani nikapata habari kua Diamond ametoa single mpya ya UTANIPENDA??. Nikaona na kusikia ikipewa shavu kubwa tu kua ni single kali (??) na ita-hit sana redioni na kwenye TV. Nilijaribu kuitafuta audio na video ili niione hiyo (hit??) song inayotajwa.

Ki ukweli sijaiona kama inafaa kuitwa hit song, labda imetolewa tu na msaani anae hit ila yenyewe sio kali kihivyo. Nimesikiliza maudhui yake naona kama kakopi ideas ya 50 Cent kwenye 21 - QUESTIONS, pia kakopi kutoka kwa Mike -Tee kwenye kwenye JE UTANIPENDA. Nyimbo zote hizi mbili za 50Cent na Mike Tee ni swali wanaoulizwa wenzi au mashabaki kama wataendelea kua pamoja na wasanii hawa hata pale watakapoanguka (filisika).

Nilidhani labda kwa msanii mkubwa kama Diamond angefanya uchunguzi kwanza kabla hajarekodi huu wimbo, maana hata jina aliloupa ni lilelile tu la Mike Tee, ila yeye ameondoa neno JE mwanzoni. Binafsi sijamsikia Mike Tee akilalamika kuibiwa idea yake ila kama akipata kuusikiliza huu wimbo na hilo jina aliloupa basi Diamond hatakua na cha kujitetea.

Huu ni mtazamo wangu tu, karibuni!!
 
Pitia mkuu wasanii hawapa mkuu.
Skylar Grey-Love the way you lie.
Westllife-Love the way you lie.
Hii midume(west life)imekop kila kitu toka kwa mwanadada Skylar Grey,Sijawahi sikia mwanadada Skylar Grey anazungumza chochote kusu hit song lake mkuu.
 
Bila kusahau eminem & rihanna Love the way you lie
 
Pitia mkuu wasanii hawapa mkuu.
Skylar Grey-Love the way you lie.
Westllife-Love the way you lie.
Hii midume(west life)imekop kila kitu toka kwa mwanadada Skylar Grey,Sijawahi sikia mwanadada Skylar Grey anazungumza chochote kusu hit song lake mkuu.
Lakini sio kwamba hao watu wanafanyia remix na inajulikana kabisa ni remix??
Hata Ray Jay alirudia wimbo wa YOU & ME IN PARADISE na kila mtu anajua, na hata yeye Ray Jay ukimuuliza atakubali kua ni wimbo wa mwengine ameurudia,

JE DIAMOND ANAWEZA KUKUBALI KUA KACHUKUA WIMBO WA MWENGINE??
 
Sasa afanye uchunguzi wa nini tena wakati amekaa anatunga mistari ya wimbo kwa mida tofauti.

Hii ni kufikiria na kujiuliza kuwa kwani binadamu wote duniani hawawezi fikiria kitu kimoja...hiyo utapata kuwa hapana.

Kwa hiyo kama mtu anaandika maneno ya kuimba kupitia maisha basi na 50 nae alifanya hivyo na hata wewe unaweza fanya hivyo.

Kwa uliyoandika na wewe ungefanya uchunguzi au ungeuliza waliomsikilixa wiki hii redioni alisemaje kuhusu utungaji wa nyimbo yake au zake.

Na wewe kafanye uchunguzi narudia tena sio kuja kutaka kugungua uzi tu.
 
50 Cent]
New York City!
You are now rapping, with 50 Cent
You gotta love it,
I just wanna chill and twist a lot
Catch suns in my 7-45
You drive me crazy shorty I
Need to see you and feel you next to me
I provide everything you need and I
Like your smile I don't wanna see you cry
Got some questions that I got to ask and I
Hope you can come up with the answers babe

[Chorus: Nate Dogg]
Girl, It's easy to love me now
Would you love me if I was down and out?
Would you still have love for me?
Girl, It's easy to love me now
Would you love me if I was down and out?
Would you still have love for me?
Girl

[50 Cent]
If I fell off tomorrow would you still love me?
If I didn't smell so good would you still hug me?
If I got locked up and sentenced to a quarter century,
Could I count on you to be there to support me mentally?
If I went back to a hoopty from a Benz, would you poof
and disappear like
Some of my friends?
If I was hit and I was hurt would you be by my side?
If it was time to put in work would you be down to ride?
I'd get out and peel a ***** cap and chill and drive
I'm asking questions to find out how you feel inside
If I ain't rap 'cause I flipped burgers at Burger King
Would you be ashamed to tell your friends you feelin'
me?
In the bed if I used my tongue would you like that?
If I wrote you a love letter would you write back?
Now we can have a lil' drink you know a nightcap
And we could go do what you like, I know you like that

[Chorus]

[50 Cent]
Now would you leave me if you're father found out I was
thuggin'?
Do you believe me when I tell you, you the one I'm loving?
Are you mad 'cause I'm asking you 21 questions?
Are you my soul mate? 'Cause if so, girl you a blessing
Do you trust me enough, to tell me your dreams?
I'm staring at ya' trying to figure how you got in them
jeans
If I was down would you say things to make me smile?
I treat you how you want to be treated just teach me how
If I was with some other chick and someone happened to
see?
And when you asked me about it I said it wasn't me
Would you believe me? Or up and leave me?
How deep is our bond if that's all it takes for you to be
gone?
We only humans girl we make mistakes, to make it up I do
whatever it take
I love you like a fat kid love cake
You know my style I say anything to make you smile

[Chorus]

Could you love me in a Bentley?
Could you love me on a bus?
I'll ask 21 questions, and they all about us
Could you love me in a Bentley?
Could you love me on a bus?
I'll ask 21 questions, and they all about us
 
Lakini sio kwamba hao watu wanafanyia remix na inajulikana kabisa ni remix??
Hata Ray Jay alirudia wimbo wa YOU & ME IN PARADISE na kila mtu anajua, na hata yeye Ray Jay ukimuuliza atakubali kua ni wimbo wa mwengine ameurudia,

JE DIAMOND ANAWEZA KUKUBALI KUA KACHUKUA WIMBO WA MWENGINE??

Unakumbuka My Number one bro?
 
Pitia mkuu wasanii hawapa mkuu.
Skylar Grey-Love the way you lie.
Westllife-Love the way you lie.
Hii midume(west life)imekop kila kitu toka kwa mwanadada Skylar Grey,Sijawahi sikia mwanadada Skylar Grey anazungumza chochote kusu hit song lake mkuu.

Jina la wimbo kufanana sio issue sana mkuu. Tatizo huwa pale ambapo lyrics na vocal melody zitafanana key to key / tune to tune a.k.a kugandamizia a.k.a copy and paste.

Endapo msanii atataka kufanya copy & paste basi huwa wanaomba kibali / ruhusa kutoka kwa msanii wa wimbo husika kwa vigezo na masharti watakayokubaliana.

Kwa hiyo issue ya jina la wimbo na idea kufanana sio issue sana endapo music tune itakuwa tofauti.
 
Nimekubali utafiti wa chige kuwa nchi hii hakuna shabiki wa Ali Kiba bali kuna mashabiki wa Diamond na maadui wa Diamond.

Shark (papa) utabaki kuwa adui papa wa Diamond. Ukweli utabaki pale pale Chibu ni namba nyingine.

Jana Azam Tv walikuwa wakimhoji Kiba, yeye muda wote kapoteza kuizungumzia Yanga, ameshindwa kujieleza.

Mimi huwa namuonea huruma huyu jamaa maana mijitu inayomsifu ndiyo yanayomdhulumu na yeye hajitetei kwa kuwa na msimamo kama Chibu. Anaibiwa sana.
 
Mkuu si uweke mashairi ya MIKE TEE hapa ili tuone kama alichoimba diamond ndo kipo huko. Kinyume na hapo unaonekana Mlevi mlevi tu.
 
Wadau,

Nikiwa napitia maswala ya burudani nikapata habari kua Diamond ametoa single mpya ya UTANIPENDA??. Nikaona na kusikia ikipewa shavu kubwa tu kua ni single kali (??) na ita-hit sana redioni na kwenye TV. Nilijaribu kuitafuta audio na video ili niione hiyo (hit??) song inayotajwa.

Ki ukweli sijaiona kama inafaa kuitwa hit song, labda imetolewa tu na msaani anae hit ila yenyewe sio kali kihivyo. Nimesikiliza maudhui yake naona kama kakopi ideas ya 50 Cent kwenye 21 - QUESTIONS, pia kakopi kutoka kwa Mike -Tee kwenye kwenye JE UTANIPENDA. Nyimbo zote hizi mbili za 50Cent na Mike Tee ni swali wanaoulizwa wenzi au mashabaki kama wataendelea kua pamoja na wasanii hawa hata pale watakapoanguka (filisika).

Nilidhani labda kwa msanii mkubwa kama Diamond angefanya uchunguzi kwanza kabla hajarekodi huu wimbo, maana hata jina aliloupa ni lilelile tu la Mike Tee, ila yeye ameondoa neno JE mwanzoni. Binafsi sijamsikia Mike Tee akilalamika kuibiwa idea yake ila kama akipata kuusikiliza huu wimbo na hilo jina aliloupa basi Diamond hatakua na cha kujitetea.

Huu ni mtazamo wangu tu, karibuni!!

Kabla hujaandika hii ungejiuliza kuna mimbo mingapi iliowahi kutungwa hapa duniani bila kusahau za makabira..ni zaidi ya bilion 2..af hizo nyimbo zichambue uziweke katika ideas zinazofanana..af amka apo na akili yako useme wote wa kundi moja wameigiziana
 
Wadau,

Nikiwa napitia maswala ya burudani nikapata habari kua Diamond ametoa single mpya ya UTANIPENDA??. Nikaona na kusikia ikipewa shavu kubwa tu kua ni single kali (??) na ita-hit sana redioni na kwenye TV. Nilijaribu kuitafuta audio na video ili niione hiyo (hit??) song inayotajwa.

Ki ukweli sijaiona kama inafaa kuitwa hit song, labda imetolewa tu na msaani anae hit ila yenyewe sio kali kihivyo. Nimesikiliza maudhui yake naona kama kakopi ideas ya 50 Cent kwenye 21 - QUESTIONS, pia kakopi kutoka kwa Mike -Tee kwenye kwenye JE UTANIPENDA. Nyimbo zote hizi mbili za 50Cent na Mike Tee ni swali wanaoulizwa wenzi au mashabaki kama wataendelea kua pamoja na wasanii hawa hata pale watakapoanguka (filisika).

Nilidhani labda kwa msanii mkubwa kama Diamond angefanya uchunguzi kwanza kabla hajarekodi huu wimbo, maana hata jina aliloupa ni lilelile tu la Mike Tee, ila yeye ameondoa neno JE mwanzoni. Binafsi sijamsikia Mike Tee akilalamika kuibiwa idea yake ila kama akipata kuusikiliza huu wimbo na hilo jina aliloupa basi Diamond hatakua na cha kujitetea.

Huu ni mtazamo wangu tu, karibuni!!

Tuwekee mashairi ya Mike Tea data said!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Tuwekee mashairi ya Mike Tea data said!!!!!

Atuwekee tu, tuone kama ndani yake kuna maneno; jakaya kikwete, ghafla visenti sina, bab tale, laaa la la la la la laaaaaa,. Na kadhalika na kadhalika. Anabwabwaja tu ka kima.
 
Last edited by a moderator:
Atuwekee tu, tuone kama ndani yake kuna maneno; jakaya kikwete, ghafla visenti sina, bab tale, laaa la la la la la laaaaaa,. Na kadhalika na kadhalika. Anabwabwaja tu ka kima.
Pia kwenye huo wa mike t atuoneshe haya mashairi:
"wale shabiki zangu walonisifu kwa maneno mataamu leo maadui zangu ni mitusi tu kwa instagram kimwana si dadangu eti nae hanifahamu,hata hamornize nikimpigia ananifokea kma salamu,na magazeti ya nyumbani kwa kukuza habari c unajuaga utackia tafarani eti mondi kwa zari amemwaga,o yeye,na venye nilivo mnyonge ata tabia ya kuwajibu sinaga kama naiyona michambo ya mademu wa zamani nlowapitiaga oh,nnayosema yana maana sababu hakuna anayejua kesho anayepanga ni rabana ila ameficha ni confidential,ukisali omba sana mumeo nisijekuwa kichekesho mana rafiki wa jana ndio adui mkubwa kesho!

Aongeze na hii "ooo bado nawaza sanaa zile tuzo mashauzi airport pindi itapofika tama,utadiriki ata japo kunipost...."kipindi cha mnyalu cdhani ata km alikuwa na izo tuzo,lkn cna uhakika km hata hayo mambo ya kupostiana yalikuwepo...

#teamkiba bana #mnashangazakwakweli kwa hoja hafifu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom