Wimbo wa nusu nusu mdundo wake ni SAMPLING

Mzee Mchopu

JF-Expert Member
Sep 24, 2014
1,031
268
wakuu kiukweli MZEE MCHOPU kwa umri wangu huu nimetokea kuupenda huu wimbo wenye ladha ya kimagharibi lakin ukajikuta upo TANZANIA

ila kale kamdundo kake loo salalaa!

Mtayarishaji yule ni mjanja sana
Alichokifanya asee ni shida watoto wa kizazi kipya wanasema

Ule mdundo kaukopi toka kwenye wimbo mmoja wa zamani asee

Sasa sjui hua anajisifia kua kafanya kazi matata sana au la

Wito wangu

WATAYARISHAJI TUWE WABUNIFU SI LAZIMA TUSAMPLE KILA KITU KUTOKA MAGHARIBI

JOH MAKINI NA WEUSI SJUI MNALIFAHAMU HILI AMA LA

Najua waweza uliza ni wimbo upi

Nusu nusu
Imekopi mdundo wa
Danielle Gramps Morgan
Uitwao
SEXUAL HEALING WA MWAKA 2013

ambapo original version
Unaitwa
SEXUAL HEALING
WA
Marving Gaye

Kutoka kwenye albumu
Ya
MIDNIGHT LOVE
YA MWAKA 1982
 
mbona sampling ni kitu cha kawaida.Hata dre,rza,erick sermon,p diddy na swis beats hufanya sampling pia.
ielewe sanaa na taaluma yake
 
Funguka mkuu, mbona na wewe unakuwa nusunusu

Mkuu nime clear doubt sipo nusu nusu tena tafuta hizo nyimbo mbili skiliza

Uvivu katika creativity na hatukatai kua sampling inakubalika ila utashangaa mtu anakua producer bora kwa sampling beats hahaaa Watoto wa siku hizi bana
 
mbona sampling ni kitu cha kawaida.Hata dre,rza,erick sermon,p diddy na swis beats hufanya sampling pia.
ielewe sanaa na taaluma yake

Vijana wa siku hizi mmepoteza muelekeo katika sanaa
Kuweni wabunifu

Kuna namna ya kukata vipande ila si kama hivi
 
Kama hujui muziki ni bora ukae kimya. Sampling ni kitu cha kawaida sana kwenye muziki labda kama hao mabwana waliosample hawajatoa credits kwa mtunzi.

Mf. MBDTF album bora kabisa ya kanye West nyimbo zote ni sample na ilishinda Grammy's kadhaa, beats nyingi za kanye ni sample. Na sio kanye tu producers wengi wana sample kifupi kusample ni kawaida ila inabidi utoe credit kwa mtunzi.

Sisikii kama nusu nusu ikifanana na sexual healing Jaribu kusikia the fix ya Nelly au blurred lines hizo ndio sample za sexual healing
 
Mkuu jua unaongea na mtu mzima skiza vizuri mi mwaka 1982 nshaliona jua kabla yako
 
Kama hujui muziki ni bora ukae kimya. Sampling ni kitu cha kawaida sana kwenye muziki labda kama hao mabwana waliosample hawajatoa credits kwa mtunzi.

Mf. MBDTF album bora kabisa ya kanye West nyimbo zote ni sample na ilishinda Grammy's kadhaa, beats nyingi za kanye ni sample. Na sio kanye tu producers wengi wana sample kifupi kusample ni kawaida ila inabidi utoe credit kwa mtunzi.

Sisikii kama nusu nusu ikifanana na sexual healing Jaribu kusikia the fix ya Nelly au blurred lines hizo ndio sample za sexual healing

Mi tatizo langu ni kwamba na producers wawe wabunifu
Haina haja a kusample saana
Bado km producer ni mzuri ni mzuri tu
 
Kuna sample ingine ushaisikia toka kwa the industry

Hapa huu wimbo nimetokea kuupenda sana ila kila nkiusikia nahisi km nipo zama zangu mara km nipo zama za kisasa loo nkaona ngoja niingie maktaba yangu

Ndo kukutana nayo
 
Mi tatizo langu ni kwamba na producers wawe wabunifu
Haina haja a kusample saana
Bado km producer ni mzuri ni mzuri tu

Nusu nusu mkono wa Nahreel producer bora bongo kwa sasa, jamaa huwa hafanyi sampling na kama alifanya sampling kwa huo wimbo sitamuhukumu maana kuna Kazi nyingi sana nzuri katengeneza from the scratch. Mf Nana ya Dayamondi, safari ya weusi, gere ya weusi nk na zote hizo ni hits.

Bado sijahakikisha kama kasample nusu nusu ila kama kafanya hivyo ni bora angetoa credits kwa mtunzi. Kwa mfumo wa kulipa wasanii unaoenda kuanza mwakani ni vyema cosota wakaangazia jicho na hili swala la sampling
 
Vyema umenena ila nusu nusu ule kiboko
 
Hakuna jipyaa chini ya juaaaa.....vyote unavyoviona vilikuwepoo

Courtesy: Masanja Mkandamizaji
 
Kama hujui muziki ni bora ukae kimya. Sampling ni kitu cha kawaida sana kwenye muziki labda kama hao mabwana waliosample hawajatoa credits kwa mtunzi.

Mf. MBDTF album bora kabisa ya kanye West nyimbo zote ni sample na ilishinda Grammy's kadhaa, beats nyingi za kanye ni sample. Na sio kanye tu producers wengi wana sample kifupi kusample ni kawaida ila inabidi utoe credit kwa mtunzi.

Sisikii kama nusu nusu ikifanana na sexual healing Jaribu kusikia the fix ya Nelly au blurred lines hizo ndio sample za sexual healing

kabisa mkuu ila umesahau twisted wa keith sweat nao ni sampling ya sexual healing.hakuna mtaalam wa sampling kama p didy ,sema vijana hawajui
 
Hapa huu wimbo nimetokea kuupenda sana ila kila nkiusikia nahisi km nipo zama zangu mara km nipo zama za kisasa loo nkaona ngoja niingie maktaba yangu

Ndo kukutana nayo

Basi usilalamike kwa sababu ya mdundo mmoja wa producer.
 
Back
Top Bottom